Results for grenades translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

grenades

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

there were five grenades in total and none detonated, but they provoked panic .

Swahili

kwa ujumla kulikuwa na mabomu ya kutupa kwa mkono matano ambayo hayakulipuka lakini yalileta mtafaruku kwa wanafunzi hao. .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

tear gas and stun grenades were used to disperse a protest in kuwait against changes to the electoral law.

Swahili

mabomu ya kutoa machozi na maguruneti ya kumfanya mtu kupoteza fahamu yalitumika kutawanya maandamano ya kupinga mabadiliko ya sheria ya uchaguzi nchini kuwait.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on 1 july, in the kenyan town of garissa masked attackers killed 17 people and wounded 45 in a gun and grenades attacks on two churches.

Swahili

mnamo julai 1, huko garissa nchini kenya, washambulizi waliokuwa wamefunika nyuso zao, waliwaua watu kumi na saba na kuwajeruhi arobaini na watano kwa risasi na mabomu kwa makanisa mawili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the police came down beating up and throwing grenades in everyone, they didn't want to know whether it was children, pregnant woman

Swahili

polisi walifika na kuanza kuwapiga watu na kuwarushia watu makombora, hawakutaka kuelewa kama kulikuwa na watoto wala wanawake wajawazito

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the police then threw some fragmentation grenades at the students, that by then were seeking refuge in the space between the buses and concrete walls that divide the highway.

Swahili

ndipo polisi wakawatupia wanafunzi mabomu ya kusambaratisha ya mkono, ambao kwa wakati huo walikuwa wakijitahidi kujiokoa kwa kujificha kwenye nafasi katikati ya misururu ya magari na ukuta uanotenganisha barabara hiyo kuu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the militants reportedly entered from an old terminal reserved for cargo and vip movement, with fake airport security force ids, automatic weapons, grenades and rpgs.

Swahili

wasafiri wote waliokuwa wamekwama kwenye ndege wakati mapambano hayo yakiendelea waliokolewa na kupelekwa kwenye sehemu ya kukaa abiria baada ya shambulio hilo kumalizwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

kenyan police has on thursday reportedly arrested a man with two grenades as he tried to sneak into an agricultural show ground in nakuru, just moments before kenyan president mwai kibaki arrived at the scene.

Swahili

polisi wa kenya mnamo alhamisi iliripotiwa wamemkamata mtu mmoja akiwa na mabomu mawili alipokuwa anajaribu kupenya kuingia kwenye viwanja vya maonyesho ya kilimo huko nakuru, dakika chache kabla ya rais wa kenya mwai kibaki kuwasili kwenye eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in bangkok, the united nations children’s fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Swahili

baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la bangkok, shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,470,434 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK