From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
on a happier note, precious, wished everyone a happy valentine's day.
katika furaha, precious anawatakia kila mmoja siku njema ya wapendanao ya matakatifu valentino.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
those who have earned the garden on that day will be better in their home and happier in their place of noonday rest;
watu wa peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but she is happier if she so abide, after my judgment: and i think also that i have the spirit of god.
lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye roho wa mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
if he could bring along plane-load of respect for civil rights and inject it directly into my government's veins i would be happier.
kama angeweza kuja na shehena ya kuheshimu haki za raia na kisha kuzidunga moja kwa moja kwenye mishipa ya viongozi wetu, ningeridhika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the controversial advert shows robert mugabe dining alone at christmas in a large mansion while he reminisces about "happier times" with former dictators, such as playing water tag with muammar gaddafi, making snow angels in the sand with saddam hussein, singing karaoke with mao zedong, pushing p. w. botha on a swing set, and riding a tank with idi amin.
tangazo hilo lililosababisha utata linamwonyesha robert mugabe akila peke yake wakati wa sikukuu ya noel katika jumba kubwa wakati huo huo akikumbukia “nyakati za raha” alizowahi kuwa nazo na madikteta wa zamani, kama vile kucheza mchezo wa kurushiana maji na muammar gaddafi kwa kutumia mpira, akitengeneza midoli ya malaika kwenye mchanga akiwa na saddam hussein, akiimba muziki wa karaoke akiwa na mao sedong, akimsukuma p.w botha kwenye bembea, na akiendesha pipa na idi amin.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting