From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
help us to share nelson mandela’s vision of a better future for all, take action this weekend, and tell us about it on our facebook page.
tusaidiane katika kueneza ndoto ya nelson mandela ya baadaye iliyo bora kwa wote, shiriki katika shughuli fulani mwisho wa juma hili, na utueleze kuhusu shughuli hiyo kupitia ukurasa wa facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on the citizen media website, agoravox, illiouchine, a métropolitain , describes the scene in guadeloupe this weekend and the calm that followed monday night's violence, an unfortunate turn of events
katika tovuti ya uandishi wa kiraia, agoravox, illiouchine, metropolitanin , anaelezea hali ilivyokuwa katika guadeloupe mwishoni mwa juma na utulivu uliofuatia baada ya ghasia za usiku wa jumatatu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
banks were closed; dozens of countries issued travel advisories against going to thailand this weekend; and residents were told not wear red or yellow which are “politically charged colors” in thailand.
benki zilifungwa; dazeni za nchi zilitoa maonyo kwa wasafiri dhidi ya safari za kwenda thailand wikiendi hii; na wakazi waliambiwa wasivae nguo za rangi nyekundu au za manjano “rangi ambazo zina ishara hai kisiasa” nchini thailand.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.