From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
harassment
unyanyasaji
Last Update: 2020-12-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sexual harassment
vitendo via udhalilishaji
Last Update: 2021-07-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hugs are harassment??
kumkumbatia mtu ni unyanyasaji wa kijinsia??
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nevertheless, initiatives to combat harassment continue.
haikujalisha, harakati za kukabiliana na udhalilishaji huo zinaendelea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
including verbal, physical or sexual harassment misconduct.
ikiwa ni pamoja na utovu wa nidhamu wa maneno, unyanyasaji wa kimwili au kijinsia.
Last Update: 2024-12-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in june a march against sexual harassment was attacked.
mwezi juni matembezi ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia yalishambuliwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
no to sexual harassment, reads a sign held at the protest.
tunasema hapana kwa udhalilishaji wa kijinsia, linasomeka bango moja kwenye maandamano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
egypt: march to end sexual harassment attacked · global voices
misri: maandamano ya kukomesha udhalilishaji wa kijinsia yavamiwa
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
egypt: protest sends message against sexual harassment · global voices
misri: waandamanaji watuma ujumbe dhidi ya udhalilishaji wa kijinsia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a protester saying "no harassment" by "mauritania today" on facebook.
mwandamanaji akisema "tunapinga udhalilishaji" picha ya jarida la "mauritania today" kwenye mtandao wa facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the aim of the july 4 protest was to take a stand against sexual harassment and to demand safe streets for all.
malengo ya maandamano ya julai 4 yalilenga kuweka msimamo kuhusu kupinga udhalilishaji wa kijinsia na kudai usalama wa mitaa kwa wote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in egypt, sexual harassment is a serious problem, and one which more and more egyptians are speaking out against.
nchini misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na wamisri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
75% of women in high level jobs or who are highly qualified have experience sexual harassment at some point in their lives.
75% ya wanawake katika ajira ya kiwango cha juu au wenye ujuzi wa juu wamekabiliwa na matukio ya unyanyasaji wa kijinsia wakati fulani katika maisha yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
since the revolution took place, egyptians both online and offline have been standing up against sexual harassment and gender-based violence.
tangu mapinduzi yalipofanyika, wamisri wanaotumia mtandao wa intaneti na wasiotumia mtandao wa intaneti wamekuwa wakisimama imara kupinga udhalilishaji wa kijinsia pamoja na machafuko yatokanayo na kutokujali usawa wa binadamu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a protest was held in cairo's nasr city on july 4 by young egyptians, both male and female, in order to send a message against harassment.
maandamano yalifanywa na vijana wadogo wa misri, wasichana kwa wavulana katika mji mdogo wa nasr jijini cairo mnamo tarehe 4 julai kwa lengo la kutuma ujumbe kupinga udhalilishaji wa kijinsia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
55% of women have suffered some form of sexual harassment (unwelcome kissing, hugging or touching) since the age of 15.
55% ya wanawake huteseka kwa aina fulani ya unyanyasaji wa kijinsia (mfano kupigwa busu bila hiari yao, kukumbatiwa au kuguswa) tangu wakiwa na umri wa miaka 15.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a march demanding an end to sexual harassment turned ugly when women involved were attacked by a mob of angry men in tahrir square today (june 8, 2012).
maandamano yaliyokusudia kudai kusitishwa kwa vitendo vya kubughudhiwa yaligeuka kuwa shubiri baada ya wanawake waliokuwa wanahusika nayo kushambuliwa na kikundi cha wanaume wenye hasira katika viwanja vya tahrir leo (june 8, 2012).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
on tuesday february 12, 2013, a group of mauritanian activists staged a protest in front of the egyptian embassy in nouakchott, the mauritanian capital, against sexual harassment and rape which egyptian women are being subject to in cairo's tahrir square.
siku ya jumanne februari 12, 2013, kikundi cha wanaharakati wa ki-mauritania kiliandaa maandamano mbele ya ubalozi wa misri jijini nouakchott, mji mkuu wa mauritania, kupinga udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji ambao wanawake wa ki-misri wamekuwa wakikumbana nao kwenye viwanja vya tahrir jijini cairo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: