From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
thy father was not a wicked man nor was thy mother a harlot.
baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
o sister of harun: thy father was not a man of evil, nor was thy mother a harlot.
ewe dada yake harun! baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
what? know ye not that he which is joined to an harlot is one body? for two, saith he, shall be one flesh.
maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "nao wawili watakuwa mwili mmoja."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
she said: in what wise shall there be a boy unto me, whereas not a human being hath touched me, nor have i been a harlot?
akasema: nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
know ye not that your bodies are the members of christ? shall i then take the members of christ, and make them the members of an harlot? god forbid.
je, hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa kristo? je, mnadhani naweza kuchukua sehemu ya mwili wa kristo na kuifanya kuwa sehemu ya mwili wa kahaba? hata kidogo!
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: