From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
whosoever is in the heaven and earth ask him.
vinamwomba yeye vilivyomo katika mbingu na ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
to allah belongs all that is in heaven and earth.
na ni vya mwenyezi mungu viliomo katika mbingu na viliomo katika ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
from god nothing whatever is hidden in heaven and earth.
hakika mwenyezi mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the heaven and earth wept not for them, nor were they reprieved.
la mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say, "who provides [sustenance] for you from heaven and earth?
sema: ni nani anaye kuruzukuni kutoka mbinguni na kwenye ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and of his signs is that the heaven and earth remain by his command.
na katika ishara zake ni kuwa mbingu na ardhi zimesimama kwa amri yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
have they not seen what is before them and behind them in heaven and earth?
kwani hawaoni yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao ya mbingu na ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and of his signs is that the heaven and earth stand firm at his command.
na katika ishara zake ni kuwa mbingu na ardhi zimesimama kwa amri yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he is allah in the heavens and earth.
na yeye ndiye mwenyezi mungu mbinguni na ardhini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
are you not aware that allah has knowledge of what is in the heaven and earth?
je! hujui kwamba mwenyezi mungu anayajua yaliomo mbinguni na katika ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
have they not regarded what lies before them and what lies behind them of heaven and earth?
kwani hawaoni yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao ya mbingu na ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he created the heavens and earth in truth.
ameumba mbingu na ardhi kwa haki. hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say, "who is lord of the heavens and earth?"
sema: ni nani mola mlezi wa mbingu na ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
all that is in heavens and earth exalt allah.
kinamtakasa mwenyezi mungu kila kilichomo katika mbingu na katika ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
all that is in the heavens and earth exalt allah.
kinamsabihi kumtakasa mwenyezi mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
except for allah, is there any other creator who provides for you out of heaven and earth?
ati yupo muumba mwengine asiye kuwa mwenyezi mungu anaye kupeni riziki kutoka mbinguni na kwenye ardhi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and to him belongs whoever is in the heavens and earth.
na vyake yeye vilivyo mbinguni na katika ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and it is he who created the heavens and earth in truth.
naye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi kwa haki. na anaposema: kuwa!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
all the secrets in heavens and earth are recorded in the illustrious book.
na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika kitabu kinacho bainisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we did not create the heavens and earth and that between them in play.
na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake kwa mchezo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: