Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mary beth heffernan taking photograph of health worker morris zolu.
mary beth heffernan akipiga picha za mhudumu wa morris zolu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
so heffernan gave staff members a copy of their portrait to keep.
kwa hiyo heffernan aliwapa watumishi hao nakala moja ya picha zao kwa ajili ya matumizi yao binafsi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in late february, heffernan travelled to monrovia, liberia to do just that.
mwishoni mwa mwezi februari, heffernan alisafiri kwenda monrovia, liberia kufanya kazi hiyo ya kupiga picha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
heffernan says that it’s better than just having health workers wear name tags.
heffernan anasema kwamba ni vizuri zaidi wahudumu wa afya kuvaa picha hizo kuliko kuvaa vitambulisho vyenye majina yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
health care workers told heffernan, "we no longer look like scary ninjas.”
wahudumu hao wa afya walimwambia heffernan, " hatuonekani kama watu wanaotisha.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
“i invited the healthcare workers to offer the expression that the wished they could have given their patient if they weren’t covered up with these suits,” says heffernan.
“niliwakaribisha wahudumu wa afya kuniambia maneno ambayo wangependa kuwaambia wagonjwa wao kama wasingekuwa wamefunikwa na mavazi hayo," anasema heffernan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting