Results for help center to resolve translation from English to Swahili

English

Translate

help center to resolve

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

i am wont not to resolve on any affair until ye are present with me.

Swahili

nipeni shauri katika jambo langu hili, kwani mimi sikati shauri yoyote mpaka mhudhurie.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

various players have promised to resolve or ease the current pressures but when?

Swahili

wadau mbalimbali wameahidi kutatua au kupunguza shinikizo lililopo lakini lini?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

close to 3,000 people gathered in the city center to protest against the dangers of a possible px spill.

Swahili

takribani watu 3,000 walikusanyika katikati ya mji kupinga hatari inayowezekana kutokana na sumu ya px.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the meantime, the couple reconciles and settles another round of pleasure on bed to resolve the dispute and do not want to pursue further.

Swahili

wakati huo huo, wanandoa hao wataafikiana na kuanza duru nyingine ya starehe kitandani ili kusuluhisha mgogoro na hawatataka kuendelea na kesi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

prime minister madhav kumar nepal is under a lot of pressure to resolve the conflict with the maoists but so far he has been unable to placate the former guerrillas.

Swahili

waziri mkuu madhav kumar nepal yuomo kwenye shinikizo kubwa la kutatua mgogoro na watu wa kundi la ki-mao lakini mpaka sasa hajaweza kuwaridhisha hao wanamgambo wa zamani wa upinzani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the june 2012 riots in western myanmar involving rohingyas and rakhine prompted several international islamic organizations and countries to extend their offer of assistance to resolve the conflict and deliver aid to victims.

Swahili

machafuko ya juni 2012 huko magharibi mwa myanmar yanayowahusisha rohingya na rakhine yaligusa mashirika ya kimataifa ya kiislamu pamoja na nchi mbalimbali katika kujitolea kusaidia kutatua mgogoro huu pamoja na kutoa misaada kwa wahanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it all started in vienna, austria on october 22, when a small group of students met for a flashmob in the city center to protest, and then headed to university of vienna where they spontaneously occupied the auditorium maximum.

Swahili

yote hii ilianzia vienna, austria, tarehe 22 oktoba, ambapo kikundi kidogo cha wanafunzi walikutana ili kufanya maonyesho ya kushtua katikati ya jiji kwa ajili ya kupinga, na baada ya hapo wakaelekea kwenye chuo kikuu cha vienna ambapo walijaza kwa haraka na bila kupanga ukumbi wa kukutania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

with the huge country split into myriad, inaccessible local enclaves, it was never going to be easy to resolve all the problems of corruption, mismanagement, inter-ethnic rivalries and power struggles.

Swahili

ndani ya nchi hii kubwa iliyogawanyika katika vitongoji visivyo rahisi kuvifikia, haingekuwa jambo rahisi kutatua matatizo yote ya rushwa, uzembe, ushindani wa kikabila pamoja na ushindani wa kutaka ukubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to ghana’s ato-kwamena dadzie, opoku-manu “urged party supporters to resort to violence to resolve their differences.”

Swahili

kwa mujibu wa ato-kwemena dadzie, opoku-manu “aliwasihi mashabiki wa chama kutumia ghasia kusuluhisha tofauti zao.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@redpepperug: update: mtn confirms 'general call failure' says technical team working to resolve situation #walk2work #ugandanews via @mtnugandacare

Swahili

@redpepperug: habari mpya: mtn imethibitisha ‘kuharibika kwa mawasiliano ya simu’ inaeleza timu ya ufundi inayoshughulika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo #walk2work #ugandanews kupitia @mtnugandacare

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

california governor gavin newsom explained his state's position, saying “we need our child care facilities, our daycare centers, to operate to absorb the impact of these school closures.”

Swahili

gavana wa california, gavin newsom alieleza msimamo wa jimbo lake, akisema “tunataka vituo vya kutunza watoto, vituo vya kutunza watoto nyakati za mchana kuendelea kufanya kazi ili kusheheni athari ya kufungwa kwa shule hizi.”

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,141,422,124 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK