Results for herbs translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and grapes and herbs.

Swahili

na zabibu, na mimea ya majani,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

grain with husk, and fragrant herbs.

Swahili

na nafaka zenye makapi, na rehani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

grain with its husk and aromatic herbs.

Swahili

na nafaka zenye makapi, na rehani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and grain in the blade, and fragrant herbs.

Swahili

na nafaka zenye makapi, na rehani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the herbs and the trees do obe isance."

Swahili

na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and the herbs and the trees do prostrate (to him).

Swahili

na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the herbs (or stars) and the trees both prostrate.

Swahili

na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the herbs and the trees - both (alike) prostrate in adoration.

Swahili

na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for one believeth that he may eat all things: another, who is weak, eateth herbs.

Swahili

watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you may see the earth as a barren land, but when we send rain, it starts to stir and swell and produce various pairs of attractive herbs.

Swahili

na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who made the earth for you an expanse and made for you therein paths and sent down water from the cloud; then thereby we have brought forth many species of various herbs.

Swahili

ambaye amekufanyieni ardhi kuwa tandiko, na akakupitishieni humo njia, na akakuteremshieni kutoka mbinguni maji. na kwa hayo tukatoa namna mbali mbali za mimema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thou beholdest the earth blackened, then, when we send down water upon it, it quivers, and swells, and puts forth herbs of every joyous kind.

Swahili

na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when it is sown, it groweth up, and becometh greater than all herbs, and shooteth out great branches; so that the fowls of the air may lodge under the shadow of it.

Swahili

lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

we are weary of one kind of food; so call upon thy lord for us that he bring forth for us of that which the earth groweth - of its herbs and its cucumbers and its corn and its lentils and its onions.

Swahili

hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa mola wako mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"take a handful of herbs," (we said to him), and apply and rub them, and do not make a mistake."

Swahili

na shika kicha cha vijiti tu mkononi mwako, kisha ndio upigie nacho, wala usivunje kiapo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

herb

Swahili

msamba

Last Update: 2020-02-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,903,859,893 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK