From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hosting ceremony
ubunifu wa mwenyeji
Last Update: 2024-12-13
Usage Frequency: 1
Quality:
each city hosting a twestival will be given the opportunity to select an area of education to support.
kila mji utakaokuwa na tamasha la twestival utapewa fursa ya kuchagua sehemu ya elimu ambayo wataiunga mkono.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
you won’t believe that we are hosting the fifa world cup soccer, the way he is acting.
hauwezi kuamini kuwa sisi ndio wenyeji wa kombe la dunia la mpira wa miguu la fifa, kwa jinsi anavyotenda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the fact is that sa is only hosting the tourno, and trying hard to get as many international visitors to sa next year.
ukweli ni kwamba afrika kusini inaandaa tu mashindano haya, na inajitahidi sana kupata wageni wa kimataifa kuja afrika kusini mwaka ujao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the white house is currently hosting an international 3-day summit on countering violent extremism with representatives from over 60 countries.
ikulu ya marekani hivi sasa ni mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu kupambana na itikadi kali ukiwa na wawakilishi kutoka kwenye nchi zaidi ya 60.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
afkinsider is hosting a blogging competition where the best blogger every month will be asked to write a paid weekly story for afkinsider the next month:
afkinsider imeandaa mashindano ya kublogu ambapo mwanablogu bora kila mwezi atahitajika kuandika hadithi ya kulipiwa kila wiki kwa afkinsider mwezi ujao:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
being that it was the first time africa was hosting this tournament, people were waiting eagerly for the final match which was between the netherlands and spain.
mashabiki hao walikuwa wamesubiri kwa hamu mechi hiyo ya fainali kati ya uholanzi na hispania.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
founded in 2005, may first is a non-profit organization dedicated to provide cooperative internet services, such as web hosting to individuals and organizations.
likiwa limeanzishwa mwaka 2005, may first ni shirika lisilo la kibiashara linalojikita katika kutoa huduma za mtandao wa intaneti, kama vile kuhifadhi tovuti za watu binafsi na mashirika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on thursday 25 march 2010, people in hundreds of cities around the world including accra will come together offline to rally around the important cause of education by hosting local events to have fun and create awareness.
alhamisi tarehe 25 machi 2010, mamia ya watu katika miji mingi duniani pamoja na accra watakutanika nje ya mtandao na kukusanya nguvu kwa ajili ya jambo muhimu la elimu kwa kuandaa matukio ya kufurahisha na kuelimisha umma.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the past weeks, torah prison became not only host for mubarak's sons, but it has also been hosting many of the pillars of mubarak's regime.
katika majuma machache yaliyopita, gereza la torah liligeuka siyo tu kuwa makazi ya watoto wa mubarak, lakini pia limekuwa makazi ya nguzo (watu) wengi tu waliokuwa katika utawala wa mubarak.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but for those who fear their lord, for them shall be gardens underneath which rivers flow, there they shall live for ever, a (goodly) hosting from allah, and that which is with allah is better for the righteous.
hayo ni makaribisho yao yatokayo kwa mwenyezi mungu. na vilioko kwa mwenyezi mungu ni bora kwa watu wema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: