Ask Google

Results for human resource officer translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

human resource

Swahili

human resouces

Last Update: 2013-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

English

director of human resource management

Swahili

mkurugenzi wa usimamizi wa rasilimali za binadamu

Last Update: 2018-04-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

On Thursday afternoon, however, the Ministry of Human Resources announced they wouldn't publish the requirements this year.

Swahili

Hata hivyo, siku ya Alhamisi mchana, Wizara ya Rasilimali Watu ilitangaza kuwa wasingeweka bayana vigezo kwa mwaka huu (2012).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Adult education, applied economic studies, communication and media studies, human resources studies, international economics and law are still not the government's favorites; there would be no tuition-free slots allocated for them.

Swahili

Elimu ya watu wazima, elimu ya rasilimali watu, masomo ya utumizi uchumi, masomo ya mawasiliano na vyombo vya habari, masomo ya uchumi wa kimataifa na masomo ya sheria bado si kipaumbele cha serikali; na hivyo hakutakuwepo msamaha wa ada ya masomo kwa ajili ya wanafunzi watakaosoma masomo yaliyotajwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; Enhance efficiency of budgetary expenses; Improve management of healthcare human resources; Introduce risk-free delivery kits; Bring doctors back to health centers in rural areas.

Swahili

Kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; Kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; Kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; Uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; Kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The day of the protests in Budapest ended with two student events' participants marching to the Chain Bridge, where they held a forum, inviting the Minister of Human Resources and the Prime Minister to guarantee that the students' demands are met.

Swahili

Siku ya mwisho ya maandamano mjini Budapest ilimalizika kwa matukio mawili ya wanafunzi washiriki kutembea hadi kwenye daraja ambalo majadiliano lifanyikia ilikumkaribisha waziri wa rasilimali watu pamoja na Waziri Mkuu ili wathibitishe kuwa madai yao yameshatekelezwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

“When students share the toilets with the teacher, they (students) will believe that they are on par with academicians and this automatically invokes a sense of being important to an organisation, which, in this case, is the school,” says State Education, Higher Learning, Human Resource, Science and Technology Committee chairman Ahmad Razif Abd Rahman in local daily The Star.

Swahili

“Pale wanafunzi wanapochangia msala na mwalimu, wataamini (wanafunzi) kwamba wako sawa na wanataaluma na hii moja kwa moja huamsha hisia za kujichukulia kuwa na umuhimu katika taasisi, ambako, kwa mukhtadha huu, ni shule,” anasema mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Elimu ya Juu, Rasilimali watu, Sayansi na Teknolojia wa Jimbo hilo, Ahmad Razif Abd Rahman katika gazeti la mahali hapo la The Star.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK