From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this is allah's decree and it is binding upon you.
ndiyo sharia ya mwenyezi mungu juu yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
it is god who issues the irreversible decree and his reckoning is swift.
na mwenyezi mungu huhukumu, na hapana wa kupinga hukumu yake, naye ni mwepesi wa kuhisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wait for god's decree and i, too, am waiting with you."
basi ngojeni, mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngoja.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and allah pronounces a doom-- there is no repeller of his decree, and he is swift to take account.
na mwenyezi mungu huhukumu, na hapana wa kupinga hukumu yake, naye ni mwepesi wa kuhisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but they rebelled against their lord's decree, and so the thunderbolt overtook them even while they gazed;
wakaasi amri ya mola wao mlezi. basi uliwanyakua moto wa radi nao wanaona.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
verily thy lord will decide between them by his decree: and he is exalted in might, all-knowing.
hakika mola wako mlezi atawahukumu kwa hukumu yake, naye ni mwenye nguvu mjuzi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
whereby allah guideth him who seeketh his good pleasure unto paths of peace. he bringeth them out of darkness unto light by his decree, and guideth them unto a straight path.
mwenyezi mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
turned aside therefrom (i.e. from muhammad saw and the quran) is he who is turned aside (by the decree and preordainment of allah).
anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say thou: if you fathers and your sons and your brothers and your wives and your family and the riches ye have acquired and the traffic wherein ye fear a slackening and the dwellings which please you are dearer unto you than allah and his apostle and striving in his cause, then wait until allah bringeth about his decree, and allah guideth not the ungodly people.
sema: ikiwa baba zenu, na wenenu, na ndugu zenu, na wake zenu, na jamaa zenu, na mali mliyo yachuma, na biashara mnazo ogopa kuharibika, na majumba mnayo yapenda, ni vipenzi zaidi kwenu kuliko mwenyezi mungu na mtume wake na jihadi katika njia yake, basi ngojeni mpaka mwenyezi mungu alete amri yake. na mwenyezi mungu hawaongoi watu wapotovu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.