From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we had given him great power in the land and all kinds of resources.
sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we granted him power in the land and endowed him with all kinds of resources.
sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
from the strict cultural point of view, two systems are competing for the allegiance of people and the allocation of resources.
kwa kulitazama suala hili kwa jicho la kiutamaduni, mifumo hii miwili inashindania utii wa watu na ugawaji wa rasilimali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
some ugandans, however, think the the celebration is a waste of resources in a country where some people sleep hungry.
wa-ganda wengine, hata hivyo, wanadhani maadhimisho hayo ni upotevu wa rasilimali za nchi ambayo mpaka sasa wapo watu wanalala njaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the blog also has a lot of resource material for would be poet as it lists links to various poetry publishing magazines, writers who have been featured in the blog and other links of interest to writers including their potrait photos.
blogu hiyo pia ina zana nyingi kwa washairi wanaochipukia kwani ina orodha ya viungo vinavyoelekea kwenye majarida yanayochapisha ushairi, waandishi ambao wameonyeshwa kwenye blogu na viungo vingi vinavyovutia waandishi hii ikiwa ni pamoja na picha za sura zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.
misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.