From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
while the recent wikileaks experience reveals aspirations to build "information freedom zones" with some help from iceland , the italian government seems to be heading in the opposite direction.
wakati ambapo taarifa za siku za karibuni kutoka wikileaks zimeweka bayana hamu ya kuanzisha "kanda za kieneo za uhuru wa habari" kwa msaada fulani kutoka iceland , serikali ya italia inaonekana kuelekea upande mwingine tofauti.
however, youmay bring in small quantities for personal consumption from andorra, croatia, the faeroe islands, greenland, iceland, liechtenstein, norway, san marino and switzerland
lakini, unaweza kiingia na kiasi kindogo tu cha matumizi ya kibinafsi kutoka nchi zifuatazo:- andorra, korasia, visiwa via faeroe, greenland, iceland, lietchtenstein, norway, san marino na uswisi.
several other countries have also managed the pandemic with aggressive contact tracing, inbound travel restrictions, testing, and quarantining, but with less aggressive lock-downs, such as iceland and south korea.
nchi nyingine nyingi pia zimedhibiti janga hili kubwa kwa mpango kabambe wa kufuatilia watu waliogusana, vizuizi vya usafiri ndani ya nchi, upimaji na karantini, lakini kwa kiwango cha chini cha kufungia shughuli za kawaida, kama vile aislandi na korea kusini.