From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
statement that no conflict of interest is in place
migogoro ya riba
Last Update: 2019-02-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
x conflict of nigeria
x kutombana za nigeria
Last Update: 2020-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
that may be the next point of interest of the cameroonian blogosphere.
hilo litakuwa ndio suala linafuatia kwenye ulimwengu wa blogu wa kameruni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this however does not justify the blatant lack of interest from international media outlets.
hali hii, hata hivyo haihalalishi tabia dhahiri ya vyombo vya habari vya nje ya kutotilia maanani .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
...to people who, although not listed in this article, need to attain it while fulfilling a role of interest for the country.
...kwa watu ambao, ingawa hawajaorodheshwa katika ibara hii, wanahitaji kuipata ili kutimiza majukumu yenye maslahi ya nchi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
due to the influx of interest in the 18th annual highway africa conference, the deadline for registration has been extended to friday, 08 august 2014.
kutokana na kuongezeka kwa shauku ya watu kuhudhuria mkutano wa mwaka wa 18 wa highway africa, tarehe ya mwisho ya kujiandikisha imesogezwa mbele mpaka ijumaa, 08 agosti 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
o you who have believed, fear allah and give up what remains [due to you] of interest, if you should be believers.
enyi mlio amini! mcheni mwenyezi mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni waumini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
those who are warned by their lord and desist will keep (what they have taken of interest) already, and the matter will rest with god.
basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa mola wake mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
budget support donors (g19) sent two letters to government in december 2009, demanding rapid moves on electoral law reforms, corruption, conflict of interest, and the overlap between the frelimo party and the state.
(g19) walituma barua mbili kwa serikali mnamo disemba 2009, wakidai hatua za haraka kurekebisha sheria za uchaguzi, rushwa, migongano ya kimaslahi, na kuingiliana kati ya chama cha frelimo na serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the blog also has a lot of resource material for would be poet as it lists links to various poetry publishing magazines, writers who have been featured in the blog and other links of interest to writers including their potrait photos.
blogu hiyo pia ina zana nyingi kwa washairi wanaochipukia kwani ina orodha ya viungo vinavyoelekea kwenye majarida yanayochapisha ushairi, waandishi ambao wameonyeshwa kwenye blogu na viungo vingi vinavyovutia waandishi hii ikiwa ni pamoja na picha za sura zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
with no glitches, this demonstration of interest in the views of africans will probably boost obama's global approval ratings, which already are almost double those of the united states.
kama hapatakuwa na matatizo, udhihirishaji huu wa kupenda kupata mitazamo ya waafrika huenda utapandisha umaarufu wa obama duniani, ambao tayari ni kama mara mbili ya ule wa marekani yenyewe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
first, if bats transmit an ancestral virus of sars-cov-2 to pangolins, it will be of interest to see under what circumstances bats and pangolins could share the same ecological niche.
kwanza, ikiwa popo wanasambaza virusi vya kijadi vya sars-cov-2 kwa kakakuona, itakuwa jambo la kuvutia kuona ni katika hali zipi ambapo popo na kakakuona wanaweza wakapatikana katika mazingira sawa ya kiekolojia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i remember i considered a game to look for something to talk about, due to my lack of interest in sports we never had a conversation longer than five lines (rightfully registered for over ten years), but knowing other cases and stories, i at least had a father.
nakumbuka mchezo wa kuangalia cha kusema, shauri ya kutokupenda kwangu michezo hatukuwahi kuwa na mazungumzo ya zaidi ya mistari mitano (kwa uhakika kabisa nakumbuka kwa zaidi ya miaka kumi), lakini kwa kufahamu mahusiano yetu katika maeneo mengine, angalau naweza kusema nilikuwa na baba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: