From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this tweet brings back to our memories the spark which ignited the arab revolutions, in december 2010, when tunisian fruit vendor mohammed bouazizi set himself on fire.
twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya kiarabu, mwezi desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa kitunisia mohammed bouazizi kujilipua kwa moto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in boiling water; they will then be ignited* in the fire. (like fuel – see verse 2:24)
katika maji ya moto, kisha wanaunguzwa motoni,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as many as 250,000 people have been displaced since the violent conflict re-ignited in august, bringing the region's total displacement figure to over 2 million.
watu wapatao 250 000 wameteguliwa kutoka kwenye makazi yao tangu machafuko yalipolipuka tena mnamo mwezi wa agosti, na kupelekea idadi ya watu waliopoteza makazi yao kufikia zaidi ya milioni 2 katika ukanda huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
atnaf's passion for civic engagement and interest in disseminating information to citizens to understand what the constitution says about their right and freedom led him to co-found the zone9 blog: his passion for human rights activism ignited the interest to co-found the organisation.
hamasa ya atnaf ya kujihusisha na uelimishaji wa jamii na kuvutiwa kwake kusambaza taarifa kwa raia ili kuwafahamisha kile katiba ya nchi inachokizungumzia kuhusiana ha haki na uhuru wao ilimfanya yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa blogu ya zone9: hamasa yake ya kuwa mwanaharakati wa haki za binadamu ilichochea yeye kuwa mmoja wa waanzilishi wa asasi ya zone9.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: