From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
for members of persecuted religious groups in indonesia, it is a useless and inaccurate cliche.
kwa wanachama wa makundi ya kidini yanayokandamizwa nchini indonesia, tamko hilo halina maana na ni kauli mbiu potofu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
inaccurate media descriptions of africa are not a rare phenomenon - even if the comedy of errors has steadily declined over the last few years.
makadirio ya vyombo vya habari yasiyosahihi kuhusu afrika ni hali iliyozoeleka - hata kama makosa yamekuwa yakipungua kwa miaka michache iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
media coverage of the somali community in the uk was so negative and inaccurate, harun felt the only way to correct it, was to make it easier for uk journalists to find somali journalists and researchers to talk to.
habari za jamii ya kisomali kwenye vyombo vya habari nchini uingereza zilikuwa hasi na zisizo sahihi, harun alifikiria kuwa namna pekee ya kusahihisha hilo,ilikuwa ni kuwarahisishia waandishi wa uingereza kuwapata waandishi wa kisomali na watafiti wa kuongea nao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the united states, the test kits developed by the cdc had "flaws;" the government then removed the bureaucratic barriers that had prevented private testing.spain purchased test kits from chinese firm shenzhen bioeasy biotechnology co ltd, but found that results were inaccurate.
nchini marekani, vifurushi vya upimaji vilivyoundwa na cdc vilikuwa na "upungufu;" serikali kisha ikaondoa vizuizi ambavyo vilivzuia upimaji wa kibinafsi .nchi ya uhispania ilinunua vifurushi vya upimaji kutoka katika kampuni ya uchina ya shenzhen bioeasy biotechnology co ltd, lakini waligundua kwamba matokeo ya vipimo hayakuwa sahihi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting