Results for inclusive translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

that my classmates and i inclusive of my teachers

Swahili

kuzungumza na wewe kuhusu ziara ya baadaye ya shamba la wanyama

Last Update: 2024-09-14
Usage Frequency: 1
Quality:

English

please walk the talk this is inclusive of your immediate family.

Swahili

tafadhali tembea kwenye maneno yako mwenyewe kwa kuanzia ndani ya familia yako.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

show us, leaders of malaysia that we are one in all ways inclusive in the use of toilet!!!!

Swahili

tuonyesheni, enyi viongozi wa malaysia kwamba sisi tu kitu kimoja kwa namna zote zinazoshirikisha matumizi ya msala!!!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

together, we will make singapore a vibrant and inclusive society, with opportunities for a better life for each and every citizen.

Swahili

kwa pamoja, tutaifanya singapore kuwa jamii ya kusisimua na shirikishi, yenye nafasi za maisha bora kwa kila raia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he has had an extreme makeover which transformed him from an ultra malay rights politician to one that espouse the inclusive and tolerant values of 1malaysia.

Swahili

yeye alikuwa na uhawilishaji uliokithiri ambao ulimbadilisha kutoka mwanasiasa wa ki-malay hadi kuwa mtu anayetangazwa kuwa mtu wa umoja na mtunzaji wa tunu za malayasia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a fair and inclusive system that makes education available to all is a powerful lever for a fair and open society. it enhances social cohesion and trust.

Swahili

mfumo wa haki na jumuishi unaoifanya elimu ipatikane kwa watu wote ni nguzo imara kwa jamii iliyo wazi na inayoheshimu haki, inawezesha ushirikiano na kuaminiana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in reaction, unesco called on countries to support affected students and families and facilitate large-scale inclusive distance learning programmes.

Swahili

kwa itikio, unesco ilihimiza nchi kusaidia wanafunzi walioathirika na familia na kuwezesha masomo inayojumuisha wote kupitia programu za kimtandao.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this group was created as a way to bring together young africans from across the continent with the aim of creating inclusive societies where people with disabilities can live better lives with dignity and contribute to and influence the internal political debates.

Swahili

kundi hili liliundwa ili kuwaleta pamoja vijana kutoka barani barani kwa lengo la kuunda jamii zilizopamoja ambapo watu wenye ulemavu wanaweza kuishi maisha mazuri zaidi na yenye staha na kuchangia na hata kubadili mwelekeo wa mijadala ya ndani ya kisiasa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i now call on the egyptian military to move quickly and responsibly to return full authority back to a democratically elected civilian government as soon as possible through an inclusive and transparent process, and to avoid any arbitrary arrests of president morsy and his supporters.

Swahili

ninalitaka jeshi la mirsi kuchukua hatua za haraka na za kiwajibikaji kurudisha mamlaka kamili kwa serikali ya kiraia iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia mara moja kwa njia za wazi na za pamoja, na kukwepa kumkamata rais morsi na wafuasi wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

economic imperative for attaining an inclusive and prosperous global economic society...leaders in governmen...t, business and civil society organizations must be accountable to achieve concrete results."

Swahili

alisema: "hakuna mashaka yoyote kwamba matumizi ya broadband ili kuamsha vipawa kamili vya watu ni jambo la lazima kiuchumi ili kuhakikisha kwamba jamii ya kiuchumi ya walimwengu wote inafikiwa na inamjumuisha kila mmoja ... viongozi wa serikali, wafanyabiashara, asasi za kiraia hazina budi kuwajibika ili kufikia matokeo yanayoonekana."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

in the context of the topic mentioned above, i am a teacher who graduated from my teaching training at the university of dodoma in 2021 and managed to have a career in the space of more than four years and by enabling many students to be tested by the national necta exams if this achievement is inclusive of the various teaching and learning methods i have been using especially during the teaching of students of all ages.

Swahili

tafadjhali husika na mada tajwa hapo juu, mimi ni mwalimu mahili niliehitimu mafunzo yangu ya ualimu katika chuo kikuu cha dodoma mwaka 2021 na kuweza kufaulu kuwa na umahili kazini ndani ya muda wa miaka zaidi ya minne na kwa kuwezesha kufaulisha wanafnzi wengi waliotahiniwa na mitihani ya taifa necta ikiwa ufaulu huu ni jumuishi kwa mbinu mbalimbali za kufundishiaji na kujifunzia nimezokuepo nikizitumia hasa wakati wa ufundishaji wa wanafunzi wa rika zote

Last Update: 2025-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:

English

public health departments reported cases to cdc using a standardized case report form that captures information (yes, no, or unknown) on the following conditions and potential risk factors: chronic lung disease (inclusive of asthma, chronic obstructive pulmonary disease [copd], and emphysema); diabetes mellitus; cardiovascular disease; chronic renal disease; chronic liver disease; immunocompromised condition; neurologic disorder, neurodevelopmental, or intellectual disability; pregnancy; current smoking status; former smoking status; or other chronic disease.

Swahili

idara za afya ya umma ziliripoti visa kwa cdc kwa kutumia fomu ya kawaida ya kuripoti visa ambayo ilinakili taarifa (ndiyo, la au haijulikani) kuhusu hali zifuatazo na vigezo vinavyoweza kuwa hatari: ugonjwa sugu wa mapafu (ikiwa ni pamoja na matatizo ya kupumua, ugonjwa sugu wa kufungwa kwa mishipa ya damu [cpd] na kukatika pumu); kisukari; ugonjwa wa moyo; ugonjwa sugu wa njia ya mkojo; ugonjwa sugu wa maini; hali ya kuingiliwa kwa kinga ya mwili; matatizo ya kiakili, ukuaji wa kiakili au ulemavu wa kiakili; ujauzito; hali ya sasa ya kutumia sigara; hali ya zamani ya kutumia sigara au magonjwa mengine sugu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,627,503,131 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK