From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the data required by federal agents is specific information from the indymedia athens account, stored on may first servers.
taarifa zinazotakiwa na idara ya usalama ni habari maalum kutoka kwenye akaunti ya indymedia athens, iliyohifadhiwa kwenye vihifadhi takwimu (servers) za may first.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but it was picked up by twitter users and investigated after indy.gr - an offshoot of the indymedia athens group - provided a translation of the article in greek.
lakini watumiaji wa huduma ya twita waliipata habari hiyo na kuipeleleza baada ya indy.gr - tawi mojawapo la indymedia athens - kutoa tafsiri ya makala hiyo katika lugha ya kigiriki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on september 5, the u.s. department of justice issued to the organization and web hosting provider may first an inquiry about one of its members, greece-based center for independent media athens, also known as indymedia athens.
mnamo septemba 5, wizara ya sheria ya marekani iliitaka shirika linaloshughulika na masuala ya kuhifadhi tovuti iitwayo may first kutoa taarifa za mmoja wa wateja wake, ambaye ni kituo cha ugiriki cha cha uandishi huru athens, kinachofahamika kama indymedia athens.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: