Results for inflation translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

inflation

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the increase has not been in line with inflation, unlike what the protesters claim.

Swahili

ongezeko la kima cha chini limekuwa halihusiani na mfumuko wa bei, kinyume na madai ya waandamanaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

honestly if there is fake money circulating in the economy we would have seen inflation tripling.

Swahili

kwa hakika kama kungekwa na noti bandia kwenye mzunguko wa uchumi tungeshaona mfumuko wa bei ukipaa mara tatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

electricity and food shortages, raising inflation and inflammable speech’s from the president start to create new winds and opportunities to the opposition.

Swahili

upungufu wa nishati ya umeme na chakula, ongezeko la bei za bidhaa na hotuba kali za rais zinaanza kutengeneza uelekeo mpya na fursa nzuri kwa upinzani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

instead of fighting unemployment we are focusing on single-digit inflation; meanwhile citizens in the lukanga swamps are surviving on scorpions.

Swahili

badala ya kupambana na ukosefu wa ajira sisi tunapambana na mfumuko wa bei ubaki kuwa tarakimu moja; wakati huo huo wananchi wanaoishi kwenye mabwawa ya lukanga wanaishi kwa nge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i don't want freedom to wear the veil or not, i want the day to come when inflation and unemployment rates are lowered and marginalized people do not need to sell drugs.

Swahili

bila kujali uhuru umefichwa au la, ninachohitaji ni kuona siku moja kuwa mfumuko wa bei za bidhaa na kukosekana kwa ajira vinapungua ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa watu wa hali ya chini hawajihusishi na uuzaji wa madawa ya kulevya..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

country men and women, if what our combined security and law enforcement officers uncovered at dishonourable austin liato’s farm (ie k2.1 billion burried under concrete slab) is anything to go by, then the government must change the currency immediately to avoid uncontrolled inflation in our beloved nation.

Swahili

ndugu zangu wananchi, waume kwa wake, kama maafisa wetu wa usalama na sheria kwa pamoja walifukua kwenye shamba la asiyejiheshimu austin liato (k bilioni 2.1 zilizokuwa zimefukiwa kwa kutumia pipa imara) basi serikali lazima ibadili fedha (sarafu) zake haraka sana kukwepa mfumuko wa bei utakaoshindwa kudhibitika katika nchi yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,832,259 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK