From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
all this reflects the informative confusion and the different visions, the main topics of the conflict in venezuela.
haya yote yanaonyesha taarifa ya mchafuko na muono tofauti, mada kuu ya vita nchini venezuela.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a brief summary of the history of hcov discovery in chronological order (table 1) would be informative and instructive.
muhtasari wa historia ya ugunduzi wa hcov katika utaratibu wa muda (jedwali la 1) unaweza kuwa wa kuelimisha na kuelekeza.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
more information about the foi law is available on the website of commission for protection of the right to free access to public information and the informative civil society portal "right to know."
taariza zaidi kuhusu sheria ya uhuru wa kupata taarifa inapatikana katika tovuti ya tume ya kulinda haki ya kupata taarifa za umma na jukwaa la umoja wa upashanaji habari za kiraia "haki ya kujua."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
japanese culture also has a strong taboo about discussing or even acknowledging vaginas (although holland-based metroplis tv, the publisher of the informative clip below, has no problem with using the term "pussy boat" to describe igarashi's vulva-shaped kayak):
utamaduni wa japani pia una mwiko mkali kuhusu kujadili au hata kuonesha kuwa kuna kiungo kinaitwa uke (ingawa metroplis tv yenye kidachi, mchapishaji wa kipande hiki kinachoelimisha hapa chini, haina tatizo na kutumia maneno kama "mtumbwi wa uke" kuelezea kayak za igarashi zenye sura ya uke):
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting