Results for iniquity translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and multiplied iniquity therein?

Swahili

wakakithirisha humo ufisadi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

killing them is indeed a great iniquity.

Swahili

hakika kuwaua hao ni khatia kubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

rejoiceth not in iniquity, but rejoiceth in the truth;

Swahili

hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they disbelieved in allah and his messenger and died in iniquity.

Swahili

hakika hao wamemkataa mwenyezi mungu na mtume wake, na wakafa na hali ni wapotofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

such will be the rejecters of allah, the doers of iniquity.

Swahili

hao ndio makafiri watenda maovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in truth it is they who have put forward an iniquity and a falsehood.

Swahili

hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for i perceive that thou art in the gall of bitterness, and in the bond of iniquity.

Swahili

ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na mfungwa wa dhambi!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

behold, thy lord called moses: "go to the people of iniquity,-

Swahili

na mola wako mlezi, alipo mwita musa, akamwambia: fika kwa watu madhaalimu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

even so ye also outwardly appear righteous unto men, but within ye are full of hypocrisy and iniquity.

Swahili

hali kadhalika ninyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and then will i profess unto them, i never knew you: depart from me, ye that work iniquity.

Swahili

hapo nitawaambia: sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he who commits a mistake or iniquity and ascribes it to one who is innocent, is guilty of calumny and brazen sin.

Swahili

na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but someone who commits an iniquity or sin and then accuses an innocent person of it, is indeed guilty of calumny and a flagrant sin.

Swahili

na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but he shall say, i tell you, i know you not whence ye are; depart from me, all ye workers of iniquity.

Swahili

lakini yeye atasema: sijui ninyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those who, if we give them power in the land, establish worship and pay the poor-due and enjoin kindness and forbid iniquity.

Swahili

wale ambao tukiwapa madaraka katika nchi husimamisha sala, na wakatoa zaka, na wakaamrisha mema, na wakakataza mabaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thou hast loved righteousness, and hated iniquity; therefore god, even thy god, hath anointed thee with the oil of gladness above thy fellows.

Swahili

wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. ndiyo maana mungu, mungu wako amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and they rejected those signs in iniquity and arrogance, though their souls were convinced thereof: so see what was the end of those who acted corruptly!

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo. basi angalia ulikuwaje mwisho wa mafisadi!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

let not the unbelievers think that our respite to them is good for themselves: we grant them respite that they may grow in their iniquity: but they will have a shameful punishment.

Swahili

wala wasidhani wale wanao kufuru kwamba huu muhula tunao wapa ni kheri yao. hakika tunawapa muhula wazidi madhambi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all faces shall be humbled before the ever-living, the self-subsisting lord, and he who bears the burden of iniquity will have failed;

Swahili

na zitadhalilika nyuso mbele ya aliye hai milele, mwangalizi mkuu. na atakuwa ameharibikiwa mwenye kubeba dhulma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i speak after the manner of men because of the infirmity of your flesh: for as ye have yielded your members servants to uncleanness and to iniquity unto iniquity; even so now yield your members servants to righteousness unto holiness.

Swahili

(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then you shall neither be able to repel your punishment nor shall get any help from anywhere; and whoso is guilty. of iniquity'' among you, we shall make him taste a severe torment.

Swahili

kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,877,171,762 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK