Results for instruction translation from English to Swahili

English

Translate

instruction

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

for it is indeed a message of instruction:

Swahili

huku ni kukumbushana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as instruction and reminder to every penitent creature.

Swahili

yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(further, we sent a long line of prophets for your instruction).

Swahili

na hakika tulimtuma nuhu kwa watu wake, akasema: enyi watu wangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he was certainly well versed by our instruction, but most people do not know.

Swahili

na hakika yeye alikuwa na ilimu kwa sababu tulimfundisha; lakini watu wengi hawajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this instruction is for all amongst you, who believe in allah and the last day.

Swahili

hayo anaonywa nayo yule miongoni mwenu anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of every thing we have created pairs: that ye may receive instruction.

Swahili

na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they ask you for instruction. say, "god instructs you concerning the indirect heirs.

Swahili

wanakuomba uhukumu, sema: mwenyezi mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

here is a plain statement to men, a guidance and instruction to those who fear allah!

Swahili

hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu.

Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and there has come to you, in this, the truth and an instruction and a reminder for the believers.

Swahili

na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa waumini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they will not be able [to give] any instruction, nor to their people can they return.

Swahili

basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

o mankind, there has to come to you instruction from your lord and healing for what is in the breasts and guidance and mercy for the believers.

Swahili

enyi watu! yamekujieni mawaidha kutoka kwa mola wenu mlezi, na poza kuponyesha yaliyomo vifuani, na uwongofu, na rehema kwa waumini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

tanzania is set to make a historic shift away from english and replace it with swahili as the language of instruction in the country’s schools.

Swahili

tanzania iko tayari sasa kufanya mabadiliko ya historia kwa kuachana na lugha ya kiingereza na kuanza kutumia rasmi kiswahili kama lugha ya kujifunzia na kufundishia katika shule za nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all scripture is given by inspiration of god, and is profitable for doctrine, for reproof, for correction, for instruction in righteousness:

Swahili

maandiko yote matakatifu yameandikwa kwa uongozi wa mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu waishi maisha adili,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and those who are of sound instruction say: we believe therein; the whole is from our lord; but only men of understanding really heed.

Swahili

na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa mola wetu mlezi. lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

following malawi's government decision to introduce english as a medium of instruction from grade one, steve sharra defends local languages and makes the case for multilingualism:

Swahili

kufuatia uamuzi wa serikali ya malawi kuanza kutumia kiingereza kama lugha ya mawasiliano kuanzia darasa la kwanza, steve sharra anatetea lugha la asili na anajenga hoja yake katika kutetea matumizi ya lugha zaidi ya moja:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he followed the officer's instruction and backed off, but was sprayed in his face without warning; although he showed his press badge many times, he was arrested and handcuffed.

Swahili

alifuata masharti ya polisi na akaacha kufanya kazi yake, lakini hata hivyo bado alimwagiwa maji ya kuwasha usoni bila kupewa onyo; ingawa alionesha kitambulisho chake wakati wote, bado alikamatwa na kupigwa pingu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not treat allah's signs as a jest, but solemnly rehearse allah's favours on you, and the fact that he sent down to you the book and wisdom, for your instruction.

Swahili

wala msizichukulie aya za mwenyezi mungu kwa maskhara. na kumbukeni neema ya mwenyezi mungu juu yenu, na aliyo kuteremshieni katika kitabu na hikima anacho kuonyeni kwacho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

driving instructions

Swahili

maelekezo ya kuendesha

Last Update: 2021-01-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,701,626,581 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK