Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
insulting dem
kukatia dem
Last Update: 2019-02-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
insulting words
maneno ya kutukana
Last Update: 2021-12-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the excessively insulting one, spreader of spite.
mtapitapi, apitaye akifitini,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
video installation with insulting comments received by ordosgoitti from users in internet.
video ikiwa na maneno yenye matusi aliyoyapata ordosgoitti kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa intaneti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
don't compare yourself with anyone in this world...if you do so, you are insulting yourself
usijifananishe na mtu yeyote katika ulimwengu huu ... ikiwa unafanya hivyo, unajikana mwenyewe
Last Update: 2018-06-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he was arrested on september 12, 2010 on charges of insulting the prophet and enmity towards god in his blog posts.
alikamatwa sepatemba 12, 2010 kwa mashtaka ya kumkashfu mtume muhammad na kumkufuru mungu kwenye makala alizokuwa anaziweka kwenye blogu yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
an altercation follows and fodeil ends up again in prison, accused of "insulting officers during the exercise of their function."
kulitokea majibizano pale kituoni na fodeil alijikuta akitupwa tena gerezaji, akituhumiwa "kuwatukana maofisa wa polisi wakati walipokuwa wakitimiza wajibu wao."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the district attorney of oran, the second largest city in algeria, located 400 kilometers northwest of the capital algiers, wanted the cartoonist to admit that he had the intention of insulting the president.
mwanasheria wa wilaya ya oran, mji wa pili kwa ukubwa nchini aljeria, alimtaka mchoraji huyo kukiri kuwa alikuwa na lengo la kumdhihaki rais.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iranian authorities announced that eight netizens including one woman were arrested in rafsanjan,in kerman province, on charges of "insulting islamic sanctities and values".
mamlaka ya iran ilitangaza kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika rafsanjan, katika mkoa wa kerman, kwa madai ya "kutusi utakatifu wa kiislamu na maadili".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the georgian police are reported to have tracked down the thought criminals responsible for "indecent and insulting" satirical videos which targeted the head of the orthodox church and caused a nationwide scandal in this fervently religious country.
askari polisi wa georgia wanaripotiwa kuwa wameweza kuwafuatilia na kuwapata waharibifu wa fikra waliohusika katika utengenezaji wa video za masihara ‘chafu na zinazotusi’ ambazo zilimlenga mkuu wa kanisa la orthodox na kusababisha aibu katika taifa zima kwenye nchi hii yenye kufuata dini kwa bidii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mnarfezhom is accused of four separate counts of insulting and slandering people, attacking their honour and reputation and offending bahraini families using indecent expressions through social media accounts on twitter and instagram under the names al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar and mnarfezhom.
mnarfezhom anatuhumiwa kutumia majina manne tofauti kuwatukana na kuwadhalilisha watu, akiwavunia heshima na hadhi yao na kudhalilisha familia za wabahraini kwa kutumia maneno ya kuudhi kupitia mitandao ya kijamii ya twita na instagram kwa kutumia majina manne tofauti al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar na mnarfezhom.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"it's insulting to the intelligence of ugandans to say that 29 years of museveni rule is a success" @godbertumushabe #hotseat — mwine (@mwineedgar) january 28, 2015
"ni kutukana akili za wa-ganda kusema kwamba miaka 29 ya utawala wa museveni ni mafanikio
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting