Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the service quotes witnesses who confirm that the photo is an integral part of any official wedding ceremony.
radio hiyo inawanukuu mashuhuda wanaothibitisha kuwa picha hiyo ni sehemu ya sherehe rasmi ya harusi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they are an integral part of south african soccer culture and it just wouldn’t be the same without them.
ni sehemu ya utamaduni wa soka la afrika kusini na haitakuwa kawaida yasipokuwepo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it has shown us that resistance, courage and love are an integral part of the palestinian identity that will never change despite all the hardships we endure.
imetuonyesha kwamba mapambano ya upinzani, kujitoa muhanga na mapenzi ni sehemu ya wapalestina ambayo haitaweza kubadilika pamoja na dhiki zote zinazotusibu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the project – funded by the world bank and other international organizations - is considered to be integral to cameroon’s aspirations to become an emerging economy.
mradi huo -unaofadhiliwa na benki ya dunia na mashirika mengine ya kimataifa- unachukuliwa kuwa na umuhimu wa pekee katika kufikiwa kwa ndoto za nchi hiyo za kuwa na uchumi imara.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on the contrary, the right to security is an integral component of the universal declaration of human rights (article 22) and an important part of the millenium development goals (mdg), as conceived by the united nations.
kinyume na matarajio, haki ya kuhakikishiwa hifadhi ni kipengele muhimu katika tamko la kimataifa la haki za binadamu (ibara ya 22) na sehemu yenye unyeti katika of the utekelezaji wa malengo makuu ya kimaendeleo ya milenia (mdg), yaliyobuniwa na umoja wa mataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: