Results for interact with translation from English to Swahili

English

Translate

interact with

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

that includes, as he put it, plans to install a whole new generation who can interact with fast-moving jihadist warfare.

Swahili

hiyo ilikuwa ni pamoja, kama anavyosema yeye, na mipango ya kuingiza kizazi kipya kinachoweza kuendana na vita vya jihad vinayobadilika kwa kasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the question remains whether leaders will use such platforms to interact with their constituents – or merely as one more way to disseminate spread an already fixed agenda.

Swahili

but the question remains whether leaders will use such platforms to interact with their constituents – or merely as one more way to disseminate spread an already fixed agenda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the question remains whether leaders will use platforms like twitter and facebook interact with their constituents – or merely as one more way to disseminate an already-fixed agenda.

Swahili

labda hapa swali kubwa ni kama viongozi wataendelea kutumia majukwaa kama twitter na facebook kuwasiliana na wapiga kura wao – au kama njia moja zaidi ya kueneza agenda ambayo tayari wamekuwa nayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as kenya, or any other country, we should define who we are, what we stand for, what we expect of other countries we interact with, and what we will and will not accept.

Swahili

kama wenyeji wa kenya ama nchi nyingine ile, tunafaa kujiainisha, kueleza msimamo wetu, kueleza tunayotarajia kutoka kwa nchi zingine tunazoshirikiana nazo, na kutaja yale tutakayokubali na yale ambayo hatutayakubali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

generally, the rbd in the s protein of a cov interacts with the cellular receptor and is intensely selected by the host antibody response.

Swahili

kwa jumla, rbd kwenye protini ya s ya cov huingiliana na kipokezi cha seli na huteuliwa kwa kina na jibu la antibodi ya mbebaji.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

third, if a third mammal acts as the true intermediate host, how it interacts with the different species including humans, bats and pangolins has to be clarified.

Swahili

tatu, ikiwa mamalia wa tatu atatumika kama mbebaji halisi wa kati, inapaswa kubainishwa jinsi mnyama huyo huingiliana na viumbe wengine ikiwa ni pamoja na binadamu, popo na kakakuona.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it specifically focuses on the conflict prevention and resolution.the major concern of the study is also to examine the bira ritual ceremony( an- all night dance performance) which is taken as a means through which people of a certain society come together to interact with their ancestors whom they deem to be in control of everything that affect them.they solve social problems through music and dance of the bira ceremony.

Swahili

ni hasa inalenga katika kuzuia vita na resolution.the kuu wasiwasi wa utafiti pia ni kuchunguza sherehe bira ibada (ka yote ya utendaji usiku ngoma) ambayo ni kuchukuliwa kama njia ambayo watu wa jamii fulani kuja pamoja ili kuingiliana na mababu zao ambao wanadhani kuwa katika udhibiti wa kila kitu yanayoathiri them.they kutatua matatizo ya kijamii kwa njia ya muziki na ngoma ya sherehe bira.

Last Update: 2016-04-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,097,389,897 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK