From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the fire was said to have started at about 0420gmt during a heavy rain characterized by intermittent power cuts.
moto huo ulielezwa kuwa ulianza mnamo majira ya 10 na dakika 20 saa za gmt wakati wa mvua kubwa iliyombatana na kukatikakatika kwa umeme.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
liberia is gradually transitioning from the nearly 15 years of intermittent civil war that ended in 2003 and moving towards mainstream development.
taratibu liberia inapitia hatua kwa hatua kutoka kwenye karibu miaka 15 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika mwaka 2003 na kusonga mbele kuelekea kwenye maendeleo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
since 2012, there have been intermittent clashes between some buddhists and minority muslims in central, western, and northern areas of myanmar, including in meikhtila in central myanmar, where the houses of both buddhist and muslim communities were burned down and thousands of people were displaced.
tangu mwaka 2012, kumekuwa na ghasia kubwa kati ya baadhi ya waumini wa dini ya ki-budha na waislamu walio wachache katika maeneo ya kati, magharibi,na kaskazini mwa myanmar, ikiwa ni pamoja na meikhtila lililo katikati ya myanmar, ambako nyumba za watu wa jamii za ki-budha na ki-islam zilichomwa na maelefu ya watu wakiachwa bila makazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: