Results for internal translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

internal control

Swahili

udhibiti wa ndani

Last Update: 2020-02-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

internal combustion engine

Swahili

injini ya mwako ndani

Last Update: 2015-01-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

lockdowns and other internal restrictions

Swahili

kusitishwa kwa shughuli za kawaida na vikwazo vingine vya ndani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

internal factionalism and defections have marked the spla in recent years.

Swahili

usaliti na mizozo ya ndani imeathiri spla kwa muda wa miaka kadhaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the global soccer body fifa has revealed internal divisions about cracking down on racism at the tournament.

Swahili

chombo kikuu cha kandanda duniani fifa kimeonyesha migawanyiko ya ndani kwa ndani kuhusu kupambana na ubaguzi wa rangi kwenye mashindano haya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the presidential term limits debate in rwanda is championed by internal security minister, sheikh musa fazil harerimana.

Swahili

mjadala wa ukomo wa kipindi cha urais nchini rwanda unaongozwa na waziri wa mambo ya ndani, sheikh musa fazil harerimana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

this bill aims at strengthening the nation’s capacity to deal with emerging internal and external threats to the traditional heterosexual family.

Swahili

muswada huu unakusudia kuimarisha uwezo wa nchi wa kupambana na matishio yanayoanza kujitokeza ya ndani na nje dhidi ya familia za kitamaduni baina ya watu wa jinsia tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

but it is not only our internal matter because now the entire world will see how after a short period of unity the polish nation divides and argues again.

Swahili

lakini hili si suala la ndani kwa sababu sasa dunia nzima itaona ni jinsi gani baada ya kipindi kifupi cha umoja taifa la wapoland linatengana na kubishana tena.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i had just graduated from law school in lima. it was late 1993 and my beloved peru was recovering from 12 years of internal conflict which had claimed tens of thousands of lives.

Swahili

ndio nilikuwa nimemaliza elimu yangu ya sheria jijini lima. ilikuwa ni mwaka 1993 na ambapo wakati huo peru yangu niipendayo ndiyo ilikuwa inajijenga mara baada ya miaka 12 ya machafuko ya wenyewe kwa wenyewe yaliyogharimu maisha ya makumi elfu ya watu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.

Swahili

“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

according to florêncio, during an internal investigation at current tv he had to prove to his journalism director andrew fitzgerald every statement he used in the movie and that the accusations made by psdb were false.

Swahili

kwa mujibu wa florêncio, wakati wa uchuguzi wa ndani kwenye kituo hicho cha runinga cha current tv ilimbidi kuthibitisha kwa mkurugenzi wa uandishi wa habari andrew fitzgerald kila kauli iliyotumika kwenye filamu hiyo na kwamba madai yaliyofanywa na chama hicho jimboni minas gerais hayakuwa kweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

steve sharra explains why malawians should brace for more cash-gate scandal after revelations that some powerful malawians abused the integrated financial management system internal controls to loot billions of public funds:

Swahili

steve sharra anaelezea kwa nini wamalawi wanakabiliwa na kashfa ya zaidi za ufisadi baada habari kuwa wazi kwamba baadhi ya wa-malawi wenye nguvu walitumia vibaya mfumo wa pamoja wa ndani wa udhibiti wa fedha kupora mabilioni ya fedha za umma:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

instead of liberating the true somalis, who need and want to continue living in and developing their own country and their communities inside somalia, the planned constitution appears as the manifestation of the shackles of foreign as well as internal oppression of the indigenous somali people in perpetuity.

Swahili

badala ya kuwakomboa wasomali halisi, wanaohitaji na wanaoendelea kuishi nchini mwao na kuendelea kuiendeleza nchi yao wenyewe na jamii zao ndani ya somalia, rasimu hii ya katiba inaonekana kuwa ilani ya kuwakumbatia wageni na pia kuwakandamiza milele wazawa wa somalia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

he has reportedly stressed the "complexity" of the internal as well as the international affairs and called for, "understanding of these complexities by everyone."

Swahili

aliripotiwa kusisitiza "hali tete" wa hali ya ndani na ya kimataifa na kutoa wito kwa kila mmoja "kuelewa hali tete iliyopo".

Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

as for lukyanivska prison's most recent international exposure, levko of foreign notes links to this kyiv post item on the april 3 meeting of freedom house representatives with one of the sizo's highest-ranking current inmates, ex-minister of internal affairs yuri lutsenko.

Swahili

kuhusu picha zilizotolewa hivi karibuni kuhusu gereza la lukyanivska katika ngazi ya kimataifa, levko wa foreign notes anaunganisha na habari hii iliyokuwa kwenye gazeti la kyiv post kuhusu mkutano uliofanyika tarehe 3 aprili kati ya wawakilishi wa freedom house na mmoja wa mahabusu wenye hadhi ya juu zaidi aliye sizo, waziri wa zamani wa mambo ya ndani, yuri lutsenko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,651,007,267 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK