From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
there can be no guide for those whom god lets go astray.
na ambaye mwenyezi mungu amemwacha apotee basi hana wa kumwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
whoever allah sends astray - there is no guide for him.
aliye mwacha mwenyezi mungu kupotea hana wa kumwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
there is no doubt that this book is a guide for the pious;
hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whomever allah sends astray – there is no guide for him.
na aliye hukumiwa na mwenyezi mungu kupotea hana wa kumwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but you are only a bearer of warnings, and a guide for every nation.
hakika wewe ni mwonyaji, na kila kaumu ina wa kuwaongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
this is the book in which there is no doubt, a guide for the righteous.
hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
before as a guide for the people and now he has revealed the criteria of discerning right from wrong.
kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. na akateremsha furqani (upambanuo).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
this is the book; there is no doubt in it. it is a guide for those who are mindful of god,
hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they seek to frighten you with those besides him; and whomsoever allah makes err, there is no guide for him.
na ati wanakutishia kwa hao wenginewe wasio kuwa yeye! na aliye hukumiwa na mwenyezi mungu kupotea hana wa kumwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we gave moses the scripture, and made it a guide for the children of israel: take none for protector other than me.
na tukampa musa kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa wana wa israili. (tukawambia): msiwe na mtegemewa ila mimi!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and certainly we gave the book to musa, so be not in doubt concerning the receiving of it, and we made it a guide for the children of israel.
basi usiwe na shaka kuwa kakipokea. na tukakifanya kuwa ni uwongofu kwa wana wa israili.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we gave the book to moses - do not have any doubt about the day of judgment - and made it a guide for the children of israel.
basi usiwe na shaka kuwa kakipokea. na tukakifanya kuwa ni uwongofu kwa wana wa israili.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whomever god guides, for him there is no misleader.
na ambaye mwenyezi mungu anamwongoa hana wa kumpotoa. je!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(we made it a guide for) the offspring of those whom we carried in the ark with noah, a thankful servant (of god).
enyi kizazi tuliyo wachukua pamoja na nuhu! hakika yeye alikuwa mja mwenye shukrani.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whoever allah guides - for him there is no misleader.
na ambaye mwenyezi mungu anamwongoa hana wa kumpotoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
“a day when you will turn back fleeing; none can save you from allah; and whomever allah sends astray, there is no guide for him.”
hamtakuwa na wa kukulindeni kwa mwenyezi mungu. na mwenye kuhukumiwa na mwenyezi mungu kupotea, basi huyo hana wa kumwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the first house (of worship) that god assigned to men was in bakka (another name of mecca). it is a blessed one and a guide for all people.
hakika nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah has revealed the best announcement, a book conformable in its various parts, repeating, whereat do shudder the skins of those who fear their lord, then their skins and their hearts become pliant to the remembrance of allah; this is allah's guidance, he guides with it whom he pleases; and (as for) him whom allah makes err, there is no guide for him.
mwenyezi mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu mola wao mlezi. kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.