Results for irresponsible translation from English to Swahili

English

Translate

irresponsible

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

irresponsible

Swahili

huku ni kutokuwajibika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

comments like these are reckless and irresponsible.

Swahili

maoni kama haya hayana maana na ni ya kipuuzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what you have done with this irresponsible accusation is to raise unnecesary alarm in the economy.

Swahili

ulichokifanya kwa tuhuma hizi zisizoeleweka ni kuleta mashaka yasiyo ya lazima kwa uchumi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it's an irresponsible, foolish decision taken under the pressure of a constant propaganda flow of condolences to the deceased couple.

Swahili

ni kutowajibika, na uamuzi wa kijinga uliochukuliwa chini ya shinikizo la mtiririko wa propaganda za salamu za rambirambi kwa wanandoa hao waliofariki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

therefore it would be irresponsible of us to share such photos and label them "official" as it may inadvertently mislead the public.

Swahili

kwa hiyo itakuwa ni kutokuwa makini kwetu kuonesha picha hizo na kuzipachika alama ‘rasmi’ kwa sababu hiyo inaweza kuupotosha umma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

for opening his mouth too wide to spew such dangerous nonsense, mr. opoku-manu has shown himself to be an irresponsible man who doesn’t deserve to occupy the position he does.

Swahili

kwa kule kuufungua mdomo wake kwa upana na kutapika upuuzi wa hatari kama huo, bw. opoku-manu amejionyesha mwenyewe kuwa mtu asiyewajibika ambaye hastahili kukalia nafasi aliyonayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

alan mills points out that the lake did not collapsed overnight but it was the result of the irresponsible hippie-chic tourism development that took place there, and all the empty beer bottles and rubbish left behind by wild parties, neither improving the living conditions of the extremely poor people from the villages around, which did not increase the environmental friendly tourism.

Swahili

alan mills anasema ziwa halikuharibiwa usiku mmoja, bali ni matokeo ya maendeleo ya hovyo ya utalii yaliyofanyika hapo, na chupa nyingi tupu za bia na uchafu ulioachwa na tafrija za usiku, ambazo hazikubadilisha umasikini uliotopea wa wanavijiji waliozunguka, na wala haukuongeza utalii mzuri kwa mazingira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,647,171,492 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK