Results for it's difficult translation from English to Swahili

English

Translate

it's difficult

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

it's difficult to get a seat on a spaceship, but fortunately, it's easy to find online satellite images from above.

Swahili

ni vigumu kupata kiti katika vyombo vinavyovinjari anga za mbali, lakini kwa bahati, ni rahisi kupata picha za setilaiti zinazopigwa kutoka juu angani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

americans make it difficult for the world to like them, and they have such a cool president!

Swahili

wamerikani wanaifanya dunia isiwapende, na wana rais poa!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many said the deployment of police and placement of metal barriers throughout the city was excessive, making it difficult for people even to glimpse the nation's special guest.

Swahili

wengi walisema kumwagwa kwa polisi na kuwekwa kwa vizuizi vya chuma jijini humo kulizidi kiwango, na kuwafanya watu washindwe kumwona mgeni huyo maalum wa taifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it's difficult to determine how many lives were impacted by previous hiv/aids policies, but the treatment action campaign (tac) says that over two million south africans died of aids during mbeki's presidency and at least 300,000 deaths could have been avoided if he had met basic constitutional requirements.

Swahili

ni vigumu kueleza idadi kamili ya watu walioathiriwa na sera zilizopita juu ya vvu na ukimwi, lakini shirika la treatment action campaign (tac) (kampeni ya kutetea tiba) linakadiria kwamba kiasi cha raia milioni mbili wa afrika ya kusini walikufa kutokana na kuugua ukimwi katika kipindi ambapo mbeki alikuwa madarakani, na kwamba walau jumla ya vifo 300,000 vingeweza kuepukwa endapo tu angetimiza baadhi ya mambo ya msingi ya kikatiba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thumbs up to the true catholics but those are ‘mission amenities’ a dominion airline is a commercial establishment, i find it difficult to see how it would directly affect those who really need ‘help’ in a community, its just like someone opening a casino and going like “i’m trying to help people become rich ”

Swahili

heko kwa makanisa ya kweli ya kikatoliki lakini vile vilikuwa “vivutio vya umisheni” (lakini) shirika la ndege la dominion ni la kibiashara, ninapata tabu kuona namna gani linaweza kuwasaidia moja kwa moja wale wanaohitaji “msaada” katika jamii. ni kama mtu anayenzisha casino na kudai “ninajaribu kuwasaidia watu kuwa matajiri”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,875,768,907 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK