From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
for allah indeed has full knowledge of them.
na mwenyezi mungu ni mwenye kuwajua vyema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they said: is it indeed thou who art joseph?
wakasema: kumbe wewe ndiye yusuf?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
great indeed has been allah's favour upon you.
na fadhila za mwenyezi mungu zilizo juu yako ni kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
no, they are in doubt about it. indeed, they are blind to it.
bali wao wamo katika shaka nayo tu, bali wao ni vipofu nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those before them did say it indeed, but what they earned availed them not.
waliyasema haya waliyo kuwa kabla yao, lakini hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
whosoever amongst you disbelieves after that, he indeed has strayed from the straight path'
lakini atakaye kufuru miongoni mwenu baada ya hayo bila ya shaka atakuwa amepotea njia iliyo sawa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he from whom it is averted on that day, allah indeed has shown mercy to him; and this is a manifest achievement.
siku hiyo yule atakaye epushwa nayo adhabu hiyo atakuwa mwenyezi mungu amemrehemu. na huko ndiko kufuzu kulio wazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"and why should we not put our trust in allah while he indeed has guided us our ways.
na tuna nini hata tusimtegemee mwenyezi mungu, na hali yeye ametuongoa kwenye njia zetu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
whether you reveal a thing or conceal it, indeed allah is ever, of all things, knowing.
mkidhihirisha chochote kile, au mkikificha, basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujua kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah indeed has sanctioned for you the expiation of your oaths and allah is your protector, and he is the knowing the wise.
hakika mwenyezi mungu kakupeni sharia ya kufungua viapo vyenu, na mwenyezi mungu ni mola wenu. na yeye ni mwenye kujua, mwenye hikima.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
permission to fight is granted to those who are attacked, because they have been wronged, god indeed has the power to help them,
wameruhusiwa kupigana wale wanao pigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini mwenyezi mungu ni muweza wa kuwasaidia -
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for now there indeed has come to you a bearer of glad tidings and a warner, allah is all-power-ful.
basi amekujieni mbashiri na mwonyaji. na mwenyezi mungu anao uweza wa kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when it is recited to them, they say, "we have believed in it; indeed, it is the truth from our lord.
na wanapo somewa wanasema: tunaiamini. hakika hii ni haki inayo toka kwa mola wetu mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
they said: "by allah! indeed has allah preferred thee above us, and we certainly have been guilty of sin!"
wakasema: wallahi! mwenyezi mungu amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa wenye kukosa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
then whoever alters the bequest after he has heard it - the sin is only upon those who have altered it. indeed, allah is hearing and knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for him only are the keys of the heavens and the earth; he increases the sustenance for whomever he wills and restricts it; indeed he is the all knowing.
yeye ndiye mwenye funguo za mbingu na ardhi. humkunjulia riziki amtakaye, na humpimia amtakaye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
rather you wish to put questions to your apostle, as musa was questioned before; and whoever adopts unbelief instead of faith, he indeed has lost the right direction of the way.
au mnataka kumwomba mtume wenu kama alivyo ombwa musa zamani? na anaye badilisha imani kwa ukafiri bila ya shaka huyo ameipotea njia iliyo sawa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and should anyone alter it after hearing it, its sin shall indeed lie on those who alter it. indeed allah is all-hearing, all-knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whoever turns his back to them on such a day - unless it be a stratagem of war, or to retreat to a troop (of his own), - he indeed has drawn upon himself wrath from allah.
na atakaye wageuzia mgongo wake siku hiyo - isipo kuwa kwa mbinu za vita au kuungana na kikosi - basi atakuwa amestahiki ghadhabu ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and give him sustenance from whence he thinks not; and whoever trusts in allah, he is sufficient for him; surely allah attains his purpose; allah indeed has appointed a measure for everything.
hakika mwenyezi mungu anatimiza amri yake. mwenyezi mungu kajaalia kila kitu na kipimo chake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: