Results for kidnapping translation from English to Swahili

English

Translate

kidnapping

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

however, his kidnapping proves that anyone is risk.

Swahili

hata hivyo, kutekwa kwake kunadhihirisha kuwa kila mmoja yu hatarini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the mex files has a few questions about the kidnapping case:

Swahili

bloga, the mex files ana maswali machache ya kuuliza kuhusiana na tukio hilo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mexico: anti-kidnapping expert is kidnapped · global voices

Swahili

meksiko: mtaalamu wa kuzuia utekaji nyara atekwa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i experienced getting jailed and now face trumped-up charges of kidnapping.

Swahili

nilijikuta nimefungwa gerezani na sasa nimeshitakiwa kwa kusingiziwa kosa la utekaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a scene from "difret" depicts the horseback kidnapping of the main character.

Swahili

sehemu ya filamu hiyo ikionesha tukio la kutekwa kwa mwanamke kwa njia ya farasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

only few days before the opening of gv2012 in nairobi, kenya experienced bloody blasts and kidnapping in mombasa and in the town of garissa.

Swahili

siku chache tu kabla ya ufunguzi wa gv2012 mjini nairobi, kenya ilishuhudia milipuko na utekaji nyara huko mombasa na katika mji wa garissa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

enrique aranda ochoa is not your average mexican writer: enrique was arrested in 1997 and convicted of kidnapping with a sentence of 50 years in prison.

Swahili

enrique aranda ochoa siyo mwandishi wako wa ki-mexico wa kawaida: enrique alikamatwa mwaka 1997 na alituhumiwa kwa utekaji nyara, kiasi cha kumpelekea kuhukumiwa kwenda jela kwa miaka 50.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

leadership vacuum is dangerous and is responsible for killings in the north, kidnapping in the east, militants gang raping in the south south and intellectual indifference in the west.

Swahili

ombwe la uongozi ni hatari na linawajibika kwa mauaji ya eneo la kaskazini, utekaji nyara mashariki ya nchi, magenge ya wanajeshi kubaka watu kusini mwa nchi na tofauti za kiufahamu zilizoko magharibi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a recent case took place in saltillo, coahuila, when u.s. anti-kidnapping expert félix batista was abducted by masked gunmen.

Swahili

tukio la karibuni lilitokea katika saltillo, coahuila, wakati mtaalamu wa kuzuia utekaji nyara wa marekani, felix batista alitekwa na watu waliovaa vinyafo usoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nonetheless, there have also been many netizens and bloggers who are pleased with the happy outcome of the kidnapping, and praised the work of the volunteers and the organization in a community so vulnerable like that of the refugees.

Swahili

hata hivyo, kuna raia wa mtandao na wanablogu wengi pia ambao wanafurahia matokeo mazuri ya utekaji nyara, na kupongeza kazi ya wafanyakazi wa kujitolea na hata shirika lenyewe katika jamii yenye mazingira magumu kama yale ya wakimbizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a respected legal practitioner and lecturer at the university of ghana, law faculty, dr. raymond atuguba has chillingly revealed that militants in the niger delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich nigerian region have started tripping to ghana in droves.

Swahili

mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye chuo kikuu cha ghana, kitivo cha sheria, dr. raymond atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la delta ya naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini naijeria wameanza kuingia ghana kwa makundi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,441,891 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK