Ask Google

Results for kivu translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

North Kivu

Swahili

Mkoa wa Kivu Kaskazini

Last Update: 2015-06-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

The governor of North Kivu has apparently also left town.

Swahili

Gavana wa Kivu ya Kaskazini pia ameukimbia mji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

Fred's post offers a detailed recent background on the situation in North Kivu.

Swahili

Ujumbe wa Fred unatoa maelezo ya nyuma ya kina kuhusu hali ilivyo huko Kivu ya kaskazini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

From Kivu to Gaza: How the Media Choose the Conflicts They Cover · Global Voices

Swahili

Kivu Mpaka Gaza: Namna Vyombo Vya Habari Vinavyochagua Vipaumbele

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

But if there is a hidden agenda, and Rwanda's interest is more or less controlling the mining concessions and all that, illegally, and if they have a hand in each and everything that goes on in North and South Kivu, then we're still a long way from trust.

Swahili

Lakini kama kuna ajenda ya siri, na maslahi ya Rwanda ni kutaka kudhibiti uchimbaji wa madini na mambo kama hayo kinyume cha sheria, na kama wana mkono kwenye kwenye kila jambo linaloendelea Kivu ya kaskazini na Kusini, basi bado tupo mbali sana na kuaminiana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

Mobs of angry civilians have been attacking UN offices in Goma, North Kivu's provincial capital, infuriated that the UN hasn't been able to protect them.

Swahili

Vikundi vya raia wenye hasira vimekuwa vikishambulia ofisi za Umoja wa Mataifa huko Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kaskazini, vikundi hivyo vimekasirikia Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kuwalinda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

Two months ago fighting resumed in the DR Congo's Eastern province of North Kivu between the rebel group led by Laurent Nkunda and government forces, in violation of a peace accord signed in January.

Swahili

Miezi miwili iliyopita mapigano yamezuka tena katika jimbo la mashariki la Kivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya kundi la upinzani linaloongozwa na Jenerali laurtent Nkunda na majeshi ya serikali, kinyume na makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwezi januari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK