Results for laguna translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

laguna

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

while there are opinions saying that there is nothing left at the laguna del tigre national park, archaeologists working in the region with communities clarified that a substantial amount of forest canopy remains intact within the enclave zone.

Swahili

wakati yapo maoni yanayosema kuwa hakuna kilichobaki kwenye hifadhi ya taifa ya laguna del tigre, wanaikiologia wanaofanya kazi katika eneo hilo na jamii za hapo waliweka wazi kuwa kuna paa za misitu ambayo bado zipo salama katika eneo lisilokaliwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aquino graced the opening of mitsubishi motor corporation’s new car factory in laguna (province south of manila) rather than attend the police ceremony.

Swahili

aquino alihudhuria kuzinduliwa kwa kiwanda kipya cha magari cha kampuni ya mitsubishi huko laguna (jimbo lililo kusini mwa manila) badala ya kuhudhuria mapokezi ya miili ya polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the blogger tokoloshte suggests visiting laguna lachua to be "industrialized" by the government (they will create a highway across the reservoir).

Swahili

mwanablogu tokoloshte anapendekeza kutembelea laguna lachua ambayo “itageuzwa kuwa ya viwanda ” na serikali (watajenga barabara kibwa katikati ya hifadhi).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

on behalf of guatemala, the the international commission of jurists (icj) for guatemala with the representation of the environmental and social legal action center (calas for its initials in spanish), filed an environmental submission before the secretariat for environmental matters stating that the country is failing in the implementation of its protected areas and not respecting the laws with the extension of the 2-85 contract for oil operations in the laguna del tigre national park in the mayan biosphere reserve.

Swahili

kwa niaba ya guatemala, kamati ya kimataifa ya wanasheria (icj) kwa ajili ya guatemala ikiwa na wawakilishi kutoka kituo cha msaada wa sheria za mazingira na jamii (calas kifupisho chake kwa kihispania), wamewasilisha maoni yao juu ya mazingira mbele ya sekretarieti ya mambo ya mazingira wakieleza kuwa nchi inashindwa kutekeleza mpango wa kulinda maeneo na haiheshimu sheria kwa kurefusha mkataba wa uchimbaji mafuta 2-85 huko hifadhi ya haifa ya laguna del tigre kwenye hifadhi ya viumbe hai ya maya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,548,181 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK