Ask Google

Results for leisure translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

We shall surely attend to you at leisure, you weight and you weight!

Swahili

Tutakuhisabuni enyi makundi mawili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And he said unto them, Come ye yourselves apart into a desert place, and rest a while: for there were many coming and going, and they had no leisure so much as to eat.

Swahili

Alisema hivyo kwa kuwa kulikuwa na watu wengi mno walikuwa wanafika hapo na kuondoka hata Yesu na wanafunzi wake hawakuweza kupata nafasi ya kula chakula. Basi, Yesu akawaambia, "Twendeni peke yetu mahali pa faragha kula chakula, mkapumzike kidogo."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

On 20 March, the government announced that all leisure establishments such as pubs and gyms were to close as soon as possible, and promised to pay up to 80% of workers' wages to a limit of £2,500 per month to prevent unemployment in the crisis.On 23 March, the Prime Minister announced tougher social distancing measures, banning gatherings of more than two people and restricting travel and outdoor activity to that deemed strictly necessary.

Swahili

Mnamo 20 Machi, serikali ilitangaza kuwa vituo vyote vya kustarehe kama vile vilabu na ukumbi wa kufanyia mazoezi zitafungwa mara moja, na kutoa ahadi kulipa hadi 80% ya mshahara ya wafanyakazi hadi kiwango cha £2,500 kila mwezi kuzuia ukosefu wa kazi katika hali hatari.Mnamo 23 Machi, Waziri Mkuu alitangaza hatua madhubuti ya kutotangamana na watu, kupiga marufuku mikutano zaidi ya watu wawili na kuwekwa vikwazo vya usafiri na shughuli za nje pia ambazo waliona kuwa muhimu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK