From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
life goes on
maisha goes on
Last Update: 2024-04-21
Usage Frequency: 1
Quality:
amidst rubble and grief, life goes on.
wakiwa wamezungukwa na vifusi na waliojawa na huzuni, lakini maisha yanasonga mbele.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
adams goes on to say:
adams anaendelea kusema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
5:24pm tense situation goes on in ucab caracas.
05:24 hali ya wasiwasi inaendelea katika chuo kikuu cha ucab mjini caracas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but dear friends, it is just a process, which goes on and on.
lakini rafiki zangu wapendwa, huu ni mchakato, ambao unaendelea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she goes on to analyze why the gap between the opposition and chávez is narrowing.
anaendelea zaidi kwa kuchambua kwa nini tofauti ya kura kati ya upizani na chavez inaendelea kupungua.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she goes on to tell them to let her think for herself because she is an adult:
anaendelea kuwaambia kuwa,wamuache ajitathmini mwenyewe kwa sababu yeye yu mtu mzima:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
so is the absence of bread, which goes on, the lines longer than ever yet.
kadhalika uhaba wa mikate, ambao unaendelea, na foleni ni ndefu kuliko.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it is hard to imagine what goes on the mind of an activist like irene, when she thinks of her children.
ni vigumu kufikiri kuhusu yale yanayopita kwenye vichwa vya wanaharakati kama irene, hasa pale anapowawaza watoto wake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mr bahati goes on to demand the death penalty for what he calls "aggravated homosexuality".
ndugu bahati anaendelea na kutaka adhabu ya kifo kwa kile anachokiita “ushoga uliovuka mipaka”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
admittedly, we should be thankful for the national coaches we have had, but life goes on, and it has, with frenchman henri michel. our known unknown.
lazima, tuwe na shukrani kwa makocha ambao tumekuwa nao kwa timu yetu ya taifa, lakini lazima maisha yaendelee na usukani ni wa henri michel.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
safa and marwah are among the symbols set up by god; there is nothing wrong if anyone goes on a pilgrimage to the house, or performs a minor pilgrimage, in walking to and fro between them.
hakika vilima vya safaa na marwa ni katika alama za mwenyezi mungu. basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ngwende goes on to explain what is meant by a people-driven constitution in a country where cabinet with the president as the head has a played a bigger role in the enactment of constitutions by excluding clauses that people had recommended and infusing those favouring the rulers:
ngwende anaendelea kuelea kile kinachomaanishwa na katiba inayotokana na watu katika nchi ambayo baraza la mawaziri linaloongozwa na rais limefanya wajibu wake vya kutosha katika kutengeneza katiba kwa njia ya kutoa vipengele ambavyo wananchi walivipendekeza na kuviondoa vile vinavyowapendelea watawala:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but if there is a hidden agenda, and rwanda's interest is more or less controlling the mining concessions and all that, illegally, and if they have a hand in each and everything that goes on in north and south kivu, then we're still a long way from trust.
lakini kama kuna ajenda ya siri, na maslahi ya rwanda ni kutaka kudhibiti uchimbaji wa madini na mambo kama hayo kinyume cha sheria, na kama wana mkono kwenye kwenye kila jambo linaloendelea kivu ya kaskazini na kusini, basi bado tupo mbali sana na kuaminiana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: