From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
all 90 people on board are presumed dead after the plane caught fire during a lightning storm and crashed into the sea.
watu wote 90 waliokuwemo wanahofiwa kuwa wamekufa baada ya ndege hiyo kushika moto katika kimbunga cha radi na kuangukia baharini.
he it is who causes you to see lightning that inspires you with both fear and hope, and he it is who whips up heavy clouds.
yeye ndiye anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu mazito.