Ask Google

Results for lightweight paper translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Paper

Swahili

Karatasi

Last Update: 2012-09-20
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Wikipedia

English

Paper Size:

Swahili

predefinito:mm

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Wikipedia

English

paper tissues

Swahili

Karatasi shashi

Last Update: 2017-01-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

His father ran this paper for 40 years.

Swahili

Baba yake aliliendesha kwa miaka 40.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

He posts a copy of the clipping from the paper and asks his readers:

Swahili

Ameweka nakala ya habari hizo kutoka gazetini na kuwauliza wasomaji wake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Ever visited Lebanon's online English paper, The Daily Star?

Swahili

Umewahi kutembelea Jarida la Kiingereza la mtandaoni la Lebanoni, The Daily Star?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

This paper has maintained its original look and had not compromised with the Urdu computer font.

Swahili

Gazeti limeendeleza mwonekano wake wa asili na halikupokea mabadiliko ya mwandiko wa kompyuta ya Ki-Urdu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The price of this paper is 75 Paise (approximately 2 US cents).

Swahili

Gazeti hili huuzwa kwa Paise 75 (kiasi cha kama senti 2 za dola, au Sh40).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Once they finalized the lyrics, they circulated them on social media and distributed them on paper.

Swahili

Walipomaliza mashairi hayo, waliyasambaza kwenye mitandao ya kijamii na kwa njia ya makaratasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Hundreds of boys and girls with their paper crowns from 106th to 116th Street and Park Avenue.

Swahili

Mamia ya wavulana kwa wasichana wakiwa na mataji yao ya makaratasi kuanzia mtaa wa 106 hadi 116 pamoja na mtaa wa Park.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

When I read a digital book, is the cultural experience lesser than when a read the book on paper?

Swahili

Ninapokisoma kitabu kilicho kwenye mfumo wa kidijitali, uzoefu wa kitamaduni ninaoupata unakuwa pungufu ya ule ninaoupata nikiwa nakisoma kitabu kwenye karatasi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

After that negative copy of the entire hand –written paper is prepared and pressed on printing plates.

Swahili

Baada ya hapo, nakala hasi ya gazeti zima lililoandikwa kwa mkono inapelekwa kiwandani tayari kuchapigwa chapa..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

I got the idea of the app after spending long hours of looking for a fast lightweight flashlight app that did not contain ads .

Swahili

Nilipata wazo la kutengeneza zana tumizi hii baada ya kutumia masaa mengi nikitafuta zana ambayo ingenisaidia kufanya kazi zangu bila kujaa matangazo mengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

In fact, they have the FREE WILL to either renew their marriage contracts or just junk the paper after 10 years.

Swahili

Kwa kweli, wana UTASHI HURU wa ama kujadidisha mkataba wao wa ndoa au kuitupa hiyo karatasi baada ya miaka 10.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Saudi Jeans' Ahmed Al Omran has little praise for the paper being accused of plagiarism:

Swahili

Saudi Jeans‘ Ahmed Al Omran anazo sifa kiduchu mno kwa gazeti hilo linalotuhumiwa kwa kitendo cha kutumia kazi za wengine kinyume cha haki miliki:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Since its launch online, the paper has refused to upgrade its website, frustrating many of its readers.

Swahili

Tangu kuzinduliwa mtandaoni, gazeti limegoma kufanya wavuti hiyo iendane na wakati, ikiwachanganya wasomaji wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Some even used the WeChat to send messages to be later written on paper cards and sent to the families of the victims.

Swahili

Wengine walitumia mtandao wa WeChat kutuma ujumbe ambao baadae ungeandikwa kwenye kadi za karatasi na kuwatumia wanafamilia wa wahanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@milindkhandekar: Pictures from Chappra shows relatives using paper fan for children admitted in the hospital.

Swahili

@milindkhandekar: picha kutoka Chappra zinawaonesha ndugu wa watoto waliolazwa hospitali wakiwapepea watoto wao kwa makaratasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@tonybkaranja: We really need a disaster management plan that's not just on paper #nairobiblast

Swahili

@tonybkaranja: Tunahitaji sana mpango wa kudhibiti majanga ambao hautakuwa tu kwenye makaratasi #nairobiblast

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And then it happened, the dam that was blocking my ability from putting down thoughts onto paper broke and everything wanted to come pouring out instantly.

Swahili

Na ikatokea, lile bwawa lililokuwa linazuia uwezo wa kuandika mawazo yangu kwenye karatasi likapasuka na kila kitu kikataka kumwagika mara moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK