From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lullabies
lullabies
Last Update: 2024-05-17
Usage Frequency: 1
Quality:
discover and submit lullabies at pri.org
jifunze na tutumie nyimbo kwenye mtandao wa pri.org
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the author says lullabies share certain traits.
mwandishi anasema nyimbo hizi zina sifa inayofanana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there are lullabies about anger, frustration, and humor.
kuna nyimbo za hasira, kukatishwa tamaa, na ucheshi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pri is collecting and sharing favorite lullabies from around the world in our new app, the world's lullabies.
mtandao wa pri unakusanya na kusambaza nyimbo hizo kutoka duniani kote kwenye zana yetu, the world's lullabies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
henderson reckons the oldest lullaby is from well before the common era and says researchers have found lullabies in the oldest-known literature.
henderson anakumbuka wimbo wa zamani kabisa una historia ndefu na kusema watafiti wamegundua nyimbo za aina hiyo kupitia fasihi za kale zinazofahamika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
henderson points out there are lullabies about "food, families, monsters, children being naughty" and many other things.
henderson anabainisha kuwa zipo nyimbo kuhusu "chakula, familia, majinamizi, watoto wasumbufu" na mambo mengine mengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lullabies are also sung in all sorts of situations, not just when a baby is in bed. for example, mothers sometimes sing them while they work, so their children will settle down and let them keep on working.
nyimbo za aina hii huimbwa katika hali za aina zote, si tu wakati mtoto anatafuta usingizi. kwa mfano, akina mama wakati mwingine wanaimba wakiwa wakifanya kazi, ili kuwafanya watoto wao watulie na kuwapa nafasi ya kufanya kazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and there's a common solution: a lullaby.
na kwa bahati njema, kuna ufumbuzi unaofanana: wimbo wa kulalia!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: