From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
diffuse alveolar damage, epithelial cell proliferation and an increase of macrophages are also observed in sars patients.
kuharibika kwa alveola, kuongezeka kwa seli za epithelia na ongezeko la makrofeji pia huonekana kwa wagonjwa wa sars.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
through different pathways, the virus induces the expression of inflammatory factors, maturation of dendritic cells, and synthesis of type i interferons (ifns) which limit the spreading of the virus and accelerate macrophage phagocytosis of viral antigens.
kupitia njia tofauti, virusi vinasababisha kuwepo kwa elementi zinazosababisha kuchomeka kwa tishu, kukomaa kwa seli za dendraiti na kuzalishwa kwa protini aina ya i interferons (ifns) ambayo hudhibiti kuenea kwa virusi na kuharakisha kuzalishwa kwa protini zinazopigana na virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: