Results for mahmoud translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

nervana mahmoud explains:

Swahili

nervana mahmoud afafanua:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

next i called my uncle mahmoud.

Swahili

halafu nikampigia simu mjomba wangu mahmood.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

... and kerman where they chanted "sweeper brother take mahmoud "

Swahili

...na kerman ambapo walipiga kelele “beki mlinda mlango mchukue mahmoud ”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

following the verdict, egyptian blogger mahmoud salem, or sandmonkey, tweets:

Swahili

kufuatia uamuzi huo, mwanablogu wa misri mahmoud salem,au sandmonkey, alitwiti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in shiraz, protesters shown in this video burned president mahmoud ahmadinejad's photo.

Swahili

katika mji wa shiraz, wapinzani wanaoonyeshwa katika video hii waliichoma moto picha ya ahmadinejad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

iran's president, mahmoud ahmadinejad, has just concluded a two-day visit to lebanon.

Swahili

rais wa irani, mahmoud ahmadinejad, amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini lebanoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this video posted by mahmoud salmani on youtube shows abdel fattah being welcomed by family and friends as he left the police station:

Swahili

video hii, iliyowekwa na mahmoud salmani inamwonyesha abdel fattah akikaribishw ana familia na marafiki zake baada ya kuondoka kwenye kituo cha polisi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

blogger jomhour says iranian president, mahmoud ahmadinejad defended his minister and asked, "who needs these torn papers!"

Swahili

mwanablogu jomhour anaandika kwamba rais wa irani, mahmoud ahmadinejad alimtetea waziri wake kwa kuuliza, "je, ni nani aliye na haja na makaratasi haya yanayoweza kuchanwa (yasiyo na maana)!”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

one of their very last creations is "prayer of fear", a filmpoem by mahmoud ezzat narrated by mosireen member salma said.

Swahili

moja ya ubunifu wake wa mwisho mwisho ni "maombi ya woga", shairi la filamu iliyotengenezwa na mahmoud ezzat na kusimuliwa na mwanachama wa mosireen salma said.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

in zoherpix photo blog we see how mahmoud ahmadinejad's and mir hussein mousavi's supporters are waving the photos of their favorite candidates:

Swahili

kwenye blogu ya picha ya zoherpix tunaona jinsi waunga mkono wa mahmoud ahmadinejad na wale wa mir hussein mousavi wanavyopepea picha za wagombea wanaowapenda:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i am totally against mandatory conscription, i refuse to serve in egyptian army because it is a criminal army which killed thousands of protesters and innocent people in mohamed mahmoud street and tahrir square in cairo and many regions in egypt.

Swahili

napinga kwa nguvu zote utaratibu huu, na ninakataa kutumika katika jeshi la misri kwa sababu ni jeshi la jinai linalowauwa maelfu ya waandamanaji na watu wasio na hatia katika barabara ya mohamed mahmoud na tahrir square jijini cairo na maeneo mengi katika misri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meybodema has published several photos of ahmadinejad's visit in lebanon and quoted sayyid hassan nasrallah, the leader of hezbollah, who praised the islamic republic and welcomed mahmoud ahmadinejad.

Swahili

meybodema amechapisha picha kadhaa za ziara ya ahmadinejad nchini lebanoni na kumnukuu sayyid hassan nasrallah, kiongozi wa hezbollah, ambaye aliisifu jamhuri ya kiislamu na kumkaribisha ahmadinejad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

later he changed tacks and wrote favorably of president mahmoud ahmedinajhad's policies regarding the united states, nuclear weapons, israel, and even intolerance for public dissent from human rights activists.

Swahili

baadaye alibadili mbinu na kuandika habari zinazosifu sera za rais mahmoud ahmedinejad hususan kwa msimamo wake dhidi ya serikali ya marekani, silaha za nyuklia, israeli, na hata kutovumilia upinzani wa umma unaofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

israel came back with severe airstrikes that shook gaza and left 12 martyrs altogether, identified by ma'an news agency as muhammad al-ghamry, fayiq saad, muatasim hajjaj, ubeid gharabli, muhammad hararah, hazim qureiqi, shadi sayqali, zuheir al-qaysi, mahmoud hanani, muhammad maghari, mahmoud najim, and ahmad hajjaj.

Swahili

majina yao yalitajwa na shirika la habari la ma’an kuwa ni pamoja na: muhammad al-ghamry, fayiq saad, muatasim hajjaj, ubeid gharabli, muhammad hararah, hazim qureiqi, shadi sayqali, zuheir al-qaysi, mahmoud hanani, muhammad maghari, mahmoud najim, na ahmad hajjaj.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,651,002,829 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK