Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
i have missing the majority
nime kuhata
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these are the people that are in majority.
hawa ndio watu walio wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the majority of colds are caused by rhinoviruses.
aina nyingi ya mafua husababishwa na rhinoviruses.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rather, the majority of them do not have faith.
bali wengi wao hawaamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the vast majority has been released but continue to face charges.
wengi wao wakiwa wameshaachiliwa lakini wakiendelea kukabiliwa na mashitaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
despite the focus on violence, the majority of the demonstrations were peaceful.
pamoja na hali ya machafuko, maandamano mengi yalikuwa ya amani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
although a majority of kenyans are christian, garissa is more heavily muslim.
ijapokuwa wa-kenya wengi ni wakristo, huko garissa waislamu ndio wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for the majority of african countries, social welfare systems are still evolving.
kwa nchi nyingi za ki-afrika, mifumo ya ustawi wa jamii bado inaendelea kukua.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the majority of caribbean netizens chose to share their reactions on facebook and twitter.
wengi wa raia wa mtandaoni wa caribbean waliamua kutumiana maoni yao kwenye mtandao wa facebook na twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
no. of seats needed to stake claim to power (majority) = 272
idadi ya viti vinavyotakiwa ili kushika hatamu = 272
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if you obey the majority of those on earth, they will lead you astray from god's way.
na ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na njia ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he also belittled criticisms by netizens in a palace briefing, pointing out that this was not the majority view.
pia alikejeli wakosoaji wake mtandao kwenye taarifa yake ikulu, akisema kwamba ukosoaji huo ni mtazamo usiowakilisha maoni ya wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
one participant observed that the majority of their family members overseas needed to access communication technology through others.
mshiriki mmoja alibainisha kuwa wengi wa wanafamilia walio ng’ambo inawabidi kupata teknolojia za mawasiliano kwa kupitia watu wengine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
during the 2003 daegu subway fire disaster, a majority of passengers died as the train conductor ran away after plucking away the master key.
mwaka 2003 wakati wa maafa ya moto ya reli ya chini ya ardhi ya daegu, idadi kubwa ya abiria walikufa wakati kondakta wa treni alikimbia baada ya kukwanyua ufunguo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
half a century after gaining independence, majority of african states have not got it right in terms of conducting and managing free and fair elections.
karibu nusu karne baada ya uhuru, nchi nyingi za ki-afrika hazijaweza kuwa na taratibu sahihi kufanya chaguzi zilizo huru na haki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but we will this day deliver you with your body that you may be a sign to those after you, and most surely the majority of the people are heedless to our communications.
leo, basi, tutakuokoa kwa mwili wako, ili uwe ishara kwa ajili ya walio nyuma yako. na hakika watu wengi wameghafilika na ishara zetu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(o muhammad!) if you obey the majority of those who live on earth, they will lead you away from allah's path.
na ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na njia ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after the quake hit, a majority of chileans helped others, assisted their neighbors in need, shared their food surpluses, and donated money in unprecedented ways.
baada ya tetemeko kutokea, wengi wa watu wa chile waliwasaidia wenzano, waliwasaidia majirani zao wenye shida, walishirikiana kwa chakula cha ziada, na walichanga fedha katika njia zilizozidi viwango.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
globalwarming arclein, a blog on how agriculture can help reduce carbon emission, says that the low tech approach of biogas makes it accessible to the majority of nepalese people who live in villages:
globalwarming arclein, blogu inayoandika kuhusu jinsi kilimo kinavyoweza kusaidia kupunguza gesi ya ukaa, inasema kwamba teknolojia ya hali ya chini ya gesi inayotokana na samadi inasababisha gesi hiyo kuwafikia wanepali walio wengi ambao wanaishi vijijini:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zambia faces many challenges ranging from poor healthcare, dilapidated and inadequate infrastructure, limited access to quality education and an economy that is still not meeting the development needs of the majority of the people in spite of its strong performance over the last few years.
zambia inakabiliwa na changamoto nyingi kuanzia huduma mbovu za afya, miundo mbinu iliyotelekezwa siku nyingi na kwa kweli isiyofaaa, kutokupatikana kwa elimu yenye ubora na uchumi ambao bado hauwezi kuwapatia wananchi walio wengi mahitaji ya kimaendeleo pamoja na kuimarika kwake katika miaka michache iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: