From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sense
fahiwati
Last Update: 2017-02-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
does this make sense to me
ina maana
Last Update: 2023-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
common sense
akili ya kawaida
Last Update: 2024-06-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sense of decadence
maana ya uhuni
Last Update: 2017-01-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
have you no sense'
basi hamfahamu nyinyi?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
have ye no sense?"..
basi nyinyi hamtii akilini?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
sense of the word suta
maana ya neno kusuta
Last Update: 2017-01-27
Usage Frequency: 4
Quality:
Reference:
did you have no sense?
je, hamkuwa mkifikiri?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sense of the word kitten
maana ya neno kitten
Last Update: 2016-03-13
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
sense of the word mang'ombo
maana ya neno mang'ombo
Last Update: 2020-05-19
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
in a senseless universe, senseless tragedies make sense.
katika ulimwengu wa kusadikika, matukio ya kusadikika yanaweza kuwa na maana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
struggling to make sense of the deadly stampede on new year day in abidjan · global voices
watu 60 wauawa kwa msongamano nchini abidjan
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
education is about development, and that development can only come through a language a people make sense of.
elimu ni maendeleo, na maendeleo yanaweza kuja tu kupitia lugha inayoeleweka vizuri kwa watu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
because of them, it makes sense to push forward police reforms.
kwa sababu yao, ni muhimu kuhakikisha kunakuwepo na mabadiliko katika jeshi la polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yet, whether we like it or not, the public thirst to make sense of the world is highest when such sad events occur.
hata hivyo, tupende tusipende, kiu ya umma kujaribu kuulewa ulimwengu ni kubwa pale matukio mabaya yanapotokea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to me, it doesn't make sense at all for the little taxpayer’s money to be used to provide accommodation for ex- presidents.
kwangu, haileti maana kabisa kwamba pesa za walipa kodi wadogo zitumike kuwapa makazi marais wa zamani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after cnn wrongly placed tanzania in uganda and nairobi in nigeria on a map of east africa, the africa is a country blog suggested that people switch off television news to make sense of the attack:
baada ya cnn kukosea na kuiweka tanzania kwenye eneo la uganda na nairobi kuonekana iko nigeria kwenye ramani ya afrika mashariki, blogu ya africa is a country blog ilishauri kwamba watu wazime televisheni zao ili waweze kuelewa shambulio hili:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
writing about the way they celebrated christmas as family with their son, he finds himself in a fix trying to make sense of his wife's atheist views and belief in traditional chinese rituals.
aliandika kuhusu jinsi walivyosherehekea sikukuu ya noeli kama familia pamoja na mtoto wao, hapo anaeleza jinsi mara nyingine inavyomwia vigumu kujaribu kuelewa maoni ya mkewe kama mtu asiyeamini katika mungu huku akishikilia matambiko fulani ya kiutamaduni ya kichina.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
she recommends alternative online news sources that focus on fact-checking, including elperiodistacivico.com, at a moment when disinformation and propaganda is confounding those trying to make sense of events.
anapendekeza vyanzo mbadala vya mtandaoni kwa minajili ya kuchunguza taarifa, ikiwa ni pamoja na elperiodistacivico.com, wakati huu ambao kuna upotoshwaji wa taarifa na propaganda zinawakwamisha wale wanaojaribu kuelewa hali halisi ya matukio yanayoendelea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to make sense of the attack by al shabaab on garissa university near kenya’s border with somalia (official count of fatalities are 148; others say closer to 200), you may want to switch off television news.
ili kuelewa shambulio hili lililofanywa na al shabaab kwenye chuo kikuu cha garissa karibu na mpaka wa kenya na somalia (takwimu rasmi ni vifo 148; wengine wanasema 200), pengine utahitaji kzima taarifa za habari kwenye televisheni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: