Results for malema translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

julius malema

Swahili

julius malema

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

julius malema has the makings of a dictator.

Swahili

julius malema ana chembechembe za dikteta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and what does google think of julius malema?:

Swahili

na je, google inafikiria nini juu ya julius malema?:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

should we call him julius gaga, or lady malema?

Swahili

tumwite julius gaga, or lady malema?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the committee found malema guilty on two main charges.

Swahili

kamati ilimtia hatiani kwa mashitaka mawili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is this as a result of malema singing “kill the boer”?

Swahili

je haya ni matokeo ya malema kuimba “uwa kaburu”?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

tony lankester puts up his opinion in "what would malema do?":

Swahili

tony lankester anatoa maoni yake katika “je malema atafanya nini?”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

malema was not present at the announcement at luthuli house for the announcement.

Swahili

malema hakuwepo wakati tangazo hilo likitolewa ndani ya jengo la luthuli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

covering what malema thinks of himself with a hint of sarcasm is 2oceansvibe:

Swahili

akielezea jinsi malema anavyojifikiria kwa mtindo wa ubeuzi ni 2oceansvibe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

julius malema is the former president of the african national congress youth league.

Swahili

julius malema ni rais wa zamani wa umoja wa vijana wa chama cha anc (african national congress youth league).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hardspear's post on malema is a simple expression of fear for the future:

Swahili

makala ya hardspear juu ya malema ni udhihirisho ulio wazi wa hofu kwa siku za usoni:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

common dialogue writes, "the anc will talk to malema about his racial utterances?

Swahili

blogu ya common dialogue inaandika “ anc itaongea na malema kuhusu kauli zake za kibaguzi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

in may 2010, malema was forced into making an apology to the nation and attend anger management classes.

Swahili

mwezi mei 2010, malema alilazimishwa kutoa tamko la kulitaka radhi taifa na kutakiwa kuhudhuria darasa la namna ya kudhiti hasira zake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

now, we all know that malema has been insulting people including senior members of the anc and its alliance partners at will.

Swahili

hivi sasa sote tunafahamu kuwa malema amekuwa akiwatukana watu pamoja na wanachama wakongwe wa anc na vyama wabia kadiri anavyopenda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and just how dangerous are the racial utterances by people like malema and other politicians who are fond of racial political posturing?

Swahili

na ni kwa hatari kiasi gani matamko yenye hisia za ubaguzi wa rangi yanayotolewa na watu kama malema na wanasiasa wengine ambao wanaopenda siasa za kibaguzi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

consequently, malema has apologised, which classicmalema.co.za covers in "malema says sorry":

Swahili

matokeo yake, malema ameomba msamaha, ambao tovuti ya classicmalema.co.za imeuchapisha katika makala ya “malema asema samahani”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

this follows two days of court order against malema and can rightly be asked whether this court order an influence on the killing of our uncle eugene.

Swahili

hii imetokea siku mbili tu baada ya kutolewa amri ya mahakama ikimpinga malema na ni haki pia kuuliza iwapo hii amri ya mahakama ilihamasisha mauaji ya mjomba wetu eugene.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but coming off from malema's rant, the anc and the south african president were quick to defend one of their executive leaders.

Swahili

lakini matokeo ya miropoko ya malema, anc na rais wa afrika kusini walikuwa wepesi kumtetea mmoja wa viongozi wao wakuu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and while it is unlikely that a tubeless rendition of the song inspired anyone to put a bullet into a sleeping mr terreblanche, it will be interesting to see what julius malema does next.

Swahili

na wakati ni vigumu kuwezekana kuwa uimbaji usio na msingi wa wimbo huo ungeweza kumhamasisha mtu yeyote kumpiga risasi mr terreblanche usingizini, kila mmoja anatamani kujua malema atachukua hatua gani?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

anc spokesman jackson mthembu told sapa by phone on thursday morning that he will defend malema and that the song should be seen in context (read full article).

Swahili

msemaji wa anc jackson mthembu aliiambia sapa kwa simu alhamisi asubuhi kuwa atamtetea malema na kwamba wimbo huo angaliwe katika mazingira ulipoimbwa (soma makala nzima).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,212,776 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK