From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mandatory registration using an online or paper form
usajili wa lazima kwa kutumia fomu ya mtandaoni au ya karatasi
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
fighting is made mandatory for you, but you dislike it.
mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i'll talk to you about mandatory conscription in egypt.
nitakueleza namna utaratibu wa kulazimisha kutumikia jeshi unavyofanyika nchini misri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mandatory conscription is not found in any developed country, any western country, nor the usa.
kulitumikia jeshi kwa lazima ni utaratibu usiokuwepo kokote kwa ajili ya maendeleo, iwe kwenye nchi yoyote ya magharibi, wala marekani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
believers, fasting has been made mandatory for you as it was made mandatory for the people before you, so that you may have fear of god.
enyi mlio amini! mmeandikiwa saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
this is a surah which we have sent down and we have made it mandatory, and we have sent down clear commandments in it so that you may learn lessons.
hii ni sura tuliyo iteremsha na tukailazimisha; tukateremsha ndani yake aya zilizo wazi ili mkumbuke.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
an egyptian activist has turned to youtube to spell out his objection to the mandatory military service in the egyptian army, compulsory for men aged between 18 and 30.
mwanaharakati wa misri ametumia mtandao wa youtube kuelezea anavyopinga utaratibu wa kulitumikia jeshi kwa lazima kwa raia wenye umri wa miaka kati ya 18 na 30.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i am totally against mandatory conscription, i refuse to serve in egyptian army because it is a criminal army which killed thousands of protesters and innocent people in mohamed mahmoud street and tahrir square in cairo and many regions in egypt.
napinga kwa nguvu zote utaratibu huu, na ninakataa kutumika katika jeshi la misri kwa sababu ni jeshi la jinai linalowauwa maelfu ya waandamanaji na watu wasio na hatia katika barabara ya mohamed mahmoud na tahrir square jijini cairo na maeneo mengi katika misri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
medical hand-washing became mandatory long after hungarian physician ignaz semmelweis discovered its effectiveness (in 1846) in preventing disease in a hospital environment.
kuosha mikono kimatibabu kukawa jambo la lazima muda mrefu baada ya mtaalamu kutoka hungary, ignaz semmelweis kugundua ufanisi wake (mwaka wa 1846) katika kuzuia magonjwa katika mazingira ya hospitalini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
even if a mandatory quarantine is not imposed, you may be asked to "self-quarantine" by staying at home and not interacting with other people.
hata kama karantini ya lazima haijawekwa, huenda ukaombwa "ujikarantini mwenyewe" kwa kukaa nyumbani na kutotangamana na watu wengine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting