From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in kenya, city dwellers are learning different techniques to grow food for consumption and sale even in reduced spaces.
nchini kenya, wakazi wa mijini wameanza kujifunza mbinu anuai za kulima chakula kwa ajili ya matumizi yao na kuuza hata katika eneo dogo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"so the system is lying there...moribund," mr clarke says. the recent surge in availability of mobile phones and internet access in africa has prompted considerable enthusiasm regarding the use of these technologies for everything from marketing and e-commerce to tracking crop diseases and reminding hiv/aids and tuberculosis patients to take their medicine.
msukumo wa hivi karibuni wa upatikanaji wa simu za mkononi na upatikanaji wa intaneti umechochea hamu ya kutosha kwenye matumizi ya teknolojia kwa ajili ya kila kitu kuanzia utafutaji masoko na biashara ya kwenye wavuti mpaka ufuatiliaji wa magonjwa ya mazao na kuwakumbusha waathirika wa vvu/ukimwi na wagonjwa wa kifua kikuu wanywe dawa zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.