From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maverick
maverick
Last Update: 2024-12-02
Usage Frequency: 1
Quality:
with his latest action, i no longer want to describe zaid as a "maverick".
kwa kitendo chake hiki kipya zaidi ya vyote, sitaki tena kumuelezea zaid kama “mtu mwenye maamuzi machachari”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i can't explain how zaid ibrahim, whom i once described as "maverick", has gone down this way.
siwezi kuelezea jinsi gani zaid ibrahim ambaye wakati fulani alielezewa kama “mtu mwenye maamuzi machachari”, amekwenda chini katika njia hii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
a maverick is unique, someone who dares go against the flow, a person you respect - even grudgingly - for his principles.
mtu mwenye maamuzi machachari ni mtu wa aina ya pekee, mtu ambaye anathubutu kwenda kinyume cha mkondo, mtu unayemheshimu – hata kwa manung’uniko – kutokana na kanuni au misimamo yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the first was the death of second republican president frederick chiluba, a maverick trade unionist turned-politician who defeated zambia’s founding president dr kenneth kaunda who had been in power for 27 years but was swept out of office in the first multi-party elections after 17 years of one party “democracy”.
tukio la kwanza lilikuwa ni kifo cha rais wa pili wa jamhuri , frederick chiluba, mmpigania haki za wafanyakazi ngangari, aliyegeuka kuwa mwanasiasa na ambaye alimshinda rais wa kwanza wa zambia dk kenneth kaunda ambaye alikuwa madarakani kwa miaka 27 na kuondolewa katika wadhifa huo kwenye uchaguzi wea kwanza wa vyama vingi baada ya miaka 17 ya ‘demokrasia’ ya chama kimoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: