Results for meanwhile translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

meanwhile..

Swahili

wakati haya yakiendelea..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile mariazul (@mariazul84) writes:

Swahili

wakati huo huo mariazul (@mariazul84) anaandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, hesham and mohsen were completely silent.

Swahili

wakati huo huo hesham na mohsen walikuwa kimya kabisa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, tala is shaken by the news and tweets:

Swahili

wakati huo huo, tala amestushwa na habari hii na kutwiti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile in chile, there were reports of aftershocks:

Swahili

wakati huo huo nchini chile, kuna taarifa za mitikisiko midogo baada ya tetemeko:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, many activist mothers in asia still face persecution.

Swahili

wakati huo huo, wanawake wengi wanaharakati barani asia wanaendelea kukabili mateso.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, netizens have been divided over the efficacy of the move.

Swahili

wakati huo huo, raia watumiao mtandao wamegawanyika kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, russian reporters say "all is well" in damascus.

Swahili

wakati huo huo, vyombo vya habari vya urusi vinasema, "hali ni shwari" mjini damascus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

meanwhile, arab regimes seem to be immune to learning from experience.

Swahili

wakati huo huo, tawala za ki-arabu zinaonekana kuwa na kinga ya kifunza kutokana na yaliyowakumba majirani zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, netizens are voicing their support for and solidarity with ghanem.

Swahili

wakati huo huo, watumiaji wa mtandao wameendelea kupaza sauti zao kumwuunga mkono na kuungana kumsaidia ghanem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, cairo-based egyptian journalist amira howeidy notes:

Swahili

wakati huo huo, mwandishi wa habari anayeishi cairo amira howeidy anabainisha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, nabeel wonders why people are upset sabahi was not up to the competition.

Swahili

wakati huo huo, nabeel anashangaa kwa nini watu wamekasirishwa kwa nini sabahi hakugombea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, child labourers in sugarcane estates work weeding, harvesting and fetching water.

Swahili

kwa upande mwingine, watoto wanaotumikishwa katika mashamba ya miwa hufanya kazi za palizi, kuvuna pamoja na kuchota maji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, ken menkhaus over at think progress concured that al-shabab is indeed weakened.

Swahili

wakati huo huo, ken menkhaus katika tovuti ya think progress alikubali kwamba al-shabab imedhoofishwa kwa hakika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, political parties are also maximizing the popular social networking site to reach out to younger voters.

Swahili

wakati huohuo, vyama vya siasa pia vinatumia mtandao huu ulio maarufu zaidi katika kuwashawishi vijana wadogo wanaotarajiwa kupiga kura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

real hope for haiti rescue center, meanwhile, is also trying to help with medical aid and writes:

Swahili

kituo cha matumaini ya kweli na uokoaji cha haiti (real hope for haiti rescue center), nacho kwa upande wake, kinajaribu kutoa msaada wa dawa na kinaandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile the member of parliament francisco soteldo made a statement to the media asking for justice for the death of carmona:

Swahili

wakati huo huo, mbunge francisco soteldo alitoa kauli kwenye vyombo vya habari akidai haki itendeke kufuatia kifo cha carmona:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many iranians can not afford going to a doctor or hospitals and die every day as a result, meanwhile iran constructs hospitals in lebanon.

Swahili

wairani wengi hawawezi kumudu kwenda kwa daktari au hospitali na matokeo yake wanakufa kila siku, wakati huo huo irani inajenga hospitali nchini lebanoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

their counterparts working in mines, meanwhile, are handling dangerous tools and are made to work without protective equipment for long hours.

Swahili

wenzao wanaofanya kazi kwenye migodi, wakati huo huo, huwa wanatumia vifaa ambavyo ni hatari na wanafanyishwa kazi kwa muda mrefu na bila ya kuwa na vitu vya kuwakinga na hatari mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile witnesses and human rights activists are recording and documenting evidence of these youngsters being put in kenyan military trucks and driven to kenyan military training bases.

Swahili

wakati huo huo mashahidi na wanaharakati wa haki za binadamu wanarekodi na kuweka kumbukumbu za ushahidi wa vijana hawa wanaowekwa katika magari ya kijeshi ya kenya na kusafirishwa kwa magari kwenda kwenye vyuo vya mafunzo ya kijeshi vya kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,646,741,079 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK