Results for morale translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

boosting morale of people who share our values and love rwanda.

Swahili

kwa kupasha moto mori wa watu wanaoamini katika mambo tunayoyathamani na wanaoipenda rwanda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

staff competency, morale and levels as well as a slew of health policies and legislation all have to be addressed.

Swahili

uwezo wa wafanyakazi, ari ya kazi, na viwango vya utendaji ukiachia mbali sera za afya na sheria, yote ni mambo ambayo hayana budi kushughulikiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his post also reveals how working a stressful and draining environment like this can affect the morale of those working to end human trafficking and abuse.

Swahili

makala yake pia inaonyesha ni kwa jinsi gani kufanya kazi katika mazingira yenye kusababisha msongo mkubwa wa mawazo na mazingira magumu kama hayo kunavyoweza kuathiri moyo wa kazi katika juhudi za kumaliza usafirishaji na unyanyasaji wa binadamu wengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

leaders celebrate mandela, but lack his discipline and morale fortitude they stand in the way of their people and make africa laughingstock — bola ahmed tinubu (@asiwajutinubu) december 5, 2013

Swahili

watawala wanamsherehekea mandela, lakini hawana nidhamu yake na muono. wanasimama kuziba njia za watu wao na kuifanya afrika ionekane kituko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for many, the news that bolivian president evo morales would name ex-miss bolivia jessica jordan, 25, as the movement towards socialism (mas) party candidate for governor of the department of bení seemed like a late day of the innocents (bolivia's version of april fools day) joke.

Swahili

kwa wengi, taarifa ya kuwa rais wa bolivia evo morales angemtaja aliyekuwa mshindi wa urembo nchini bolivia jessica jordan, 25 kuwa mgombea ugavana kwa tiketi ya chama cha ujamaa (mas) ilichukuliwa kama masihara ya siku ya wasio na hatia ( ambayo ni sawa na siku ya wajinga duniani nchini bolivia).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,657,131,502 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK